Mtu mfupi mwenye nguvu kuliko wote duniani kuoa 'mke wa futi 6

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,767
10,526
Anaitwa Anton Kraft,mnyanyua vitu vizito.Ana futi 4 inchi 4.Kuoa ''mwanamke'' aliyezaliwa mwanaume(transgender) mwenye urefu wa futi 6 na nchi 3 aitwaye China Bell.Katika PIcha..
Anton-Kraft.jpg

moja kati ya mitoko yao
Anton-Kraft.jpg

mahaba mpaka jikoni..
Anton-Kraft.jpg

anton akiwa gym
Anton-Kraft.jpg

''kisura''/''mrembo'' China Bell katika pozi na vazi la ufukweni..''Eti'' alizaliwa wa kiume...
 
Tyta huyu demu alikua mwanaume????

nimeleta hii habari labda tushirikiane kujiridhisha kama madai haya ni kweli..
The bodybuilder, who is originally from Denmark but now lives in Florida, said he instantly fell for China Bell, despite the fact she was originally born a man.

He said: "We used to walk against the current, but the current has changed.

"Florida is one the states that have same-sex marriage - and both of us are basically the same sex.
"I enjoy dating a transgender woman because she was born a male and is doing the utmost to become as feminine as possible.
 
Tyta asante kwa mda yako japo imebeba maudhui ya aina mbili:mtu mfupi na mtu aliyezaliwa mwanume na sasa mwanamke.BABKUBWA.
 
Last edited by a moderator:
nimeleta hii habari labda tushirikiane kujiridhisha kama madai haya ni kweli..

"I enjoy dating a transgender woman because she was born a male and is doing the utmost to become as feminine as possible. Hiyo quote hapo nilipoiwekea angalizo.. why bother having a woman doing the utmost to become as feminine as possible while there are already natural women who are not struggling to be feminine? Ridiculous!...
 
suala la mapenzi is all about mindset...kuuna watu wanapenda kuwa kwenye mahusiano na mtu wa design hiyo..yaani ana sifa za jinsia zote mbili..yeye kwake ndio anapata amani ya moyo ...
 
Tyta ina maana huyu shemeji mtarajiwa aling'oaga ndude yake kabla haijakomaa? I mean katika stage ya kibamia ama haikuota kabisa!
 
Last edited by a moderator:
nimeleta hii habari labda tushirikiane kujiridhisha kama madai haya ni kweli..

also she said: "I think Anton's weightlifting is so sexy because I think he's sexy - when you hold a world heavyweight title, that means a lot.
"I've never dated a 4ft 4in guy and I was just so curious. I'm glad I gave him a chance because he's an amazing person.
"I'm different and he's different, and where we're from, different is good.
 
According to transgender porn videos, wanaume wanaolala na shemales na wao wanapenda dushe...Kama sio kuchapwa nao, basi aina nyingine ya matumizi wawapo faragha. Kwa mtazamo wangu, mwanaume anaefanya mapenzi na transgender ni shoga.
Kwanza wanawake wananukia vizuri, wanawake ni soft, hilo libaba hilo kikwapa si kama dume tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom