OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,021
- 114,376
Viwanda uchwara
ha ha ha,hiyo siyo mizinga wewe,ni MANPORTABLE BANKS a.k.a vibubuMkuu umeanza kuuza mizinga ya nyuki?? Magu atatuua mwaka huu
Niliona vibaya mdau..Nilijua mizinga ya nyuki. Si unajua hali tete saivi??ha ha ha,hiyo siyo mizinga wewe,ni MANPORTABLE BANKS a.k.a vibubu
Mkuu ngoja namim nikusaidie kuchekaaa hahahahahahahahahaaaa..!! Kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiNimepita sehemu wazee wanatia kejeli kidogo
Imenibidi nicheke kwa dharaaaauuuuuu
Hii ni tafakuri ya kila mwananchi
Vitu vidogo kama chai na uji vimemshinda na vinakuwa ni ishu majumbani
Futari watu hawauliZi tena kale ka utamu
Nimewaazaaaaa
Mara mafuta ya taa nayo ishu
Serikali kuna uchakachuaji wa mafuta ya taa wanachanganya na diesel hivo wanaalibu magar
Nimeendelea kupata raha
Mara mitumba marufuku uliza viwanda vingapi utapata raha apo
Nikagundua hawa wazee wanaakili sana
Tunapiga hatua moja mbele tunarudi kumi tunajipongeza
Hii kwel bongo land
Siku zote ukweli unauma!Naona msumari wa jahazi umekuingiiaNaona Ufipa mmeanza kulipwa overtime