Mtu akiwa na umri wa miaka 23 mwenye uzito wa 48.8 kuna tatizo kiafya?

Utajua wewe

JF-Expert Member
Feb 20, 2024
928
1,836
Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya.
Naomba kujuzwa kitaalamu.

Natanguliza shukurani!
 
Una urefu wa sentimita ngapi?

Google neno Body Mass Index halafu kokotoa, utajua status yako ya kiafya kama ni underweight, normal weight, Overweight, Obesity
 
eeeh wew,,m nafukuzia 60 kgs apa afu wew ata 50 bado🤣🤣,, what a toothpick,,, achana na mapenz zingatia kula
 
Kama una urefu 5:8 hamna madhara

Mimi ndo uzito wangu huo na huwa Nina hakikisha sizidi 50 japo age naelekea 27 years but I'm OK and energetically.
 
Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya.
Naomba kujuzwa kitaalamu.

Natanguliza shukurani!
Kiafya na kwa watu wazima, uzito mara nyingi haulinganishwi na umri. Ni uzito vs urefu ndiyo ina-matter.
 
Back
Top Bottom