MTU AKISEMA HANA HELA WE UNAMUELEWAJE?

Ndiyo hawana tofauti na watoto. Watoto huamini baba hashindwi kitu.
Heri ya mtoto unamdanganya nakuletea jioni unavizia kalala unarudi kesho kasahau ila mpenzi hapo hatanuna siku tatu
 
mida ya asubuh leo kuna demu katoka kunipiga kirungu nimuongezee laki moja alipie kodi ya nyumba hapo kesho
mimi nika mjibu kwa sasa sina ila kwenue tarehe 2 au 3 nitapata nitakupa hivyo ongea na mwenyenyumba usogezesogeze siku
akaniuliza we hapo una shingap
simple tu nikamjibu BUKU 5
tangu asubuh mpk sasa ajajibu chochote na nahisi kanuna
na mimi sijari sio dadaangu wa kaka wala hata siyo mke wangu ama shemeji kwann uniumize kichwa mwache anune
najua hiyo tarehe 2 au 3 nikimuibukia gheto kwake atajitia kununa kujisemesha kakopa sijui nini na nini umeniacha peke yangu kahangaika maneno kibao
basi nafunika kombe na mwekundu mwekundu mwanaharamu anapita najilia vyangu mchezo umeisha ya nini kujipa mawazo na mtu mwenyewe demu na shida ela tu yake kumbuka mademu shida haziwaishi
usikute hapo kashapiga kirungu kwa maboy hata wanne au watatu anataka akusanye 20 au kumikumi
MATARAJIO YAO YANAKOSA UHALISIA WA MAISHA UWANAUME SHIDA SANA
 
HABARI ZA MAPUMZIKO WADAU. KUNA JAMBO LINANITATIZA NA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU WANGU. KANIOMBA ELFU 50 NIKAMJIBU MPENZI LEO SINA HELA. MARA INAINGIA SMS IPO KIASI GANI? JAMANI NAOMBA MNISAIDIE IVI MTU AKISEMA HANA HELA WENZANGU MNAMULEWAJE? MAANA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU
Huna hela ulizopanga kutumia kwa ombi lililo mbele yako lakini pesa unazo
 
Huna hela ulizopanga kutumia kwa ombi lililo mbele yako lakini pesa unazo
KUNA TIME YAWEZA TOKEA HUNA HELA KABISA HASA KWA WATU AMBAO TUNAFANYA KAZI KWA WATU KAZI UMEMALIZA MALIPO UNAPIGWA KALENDA NA KUNDI HILI TUPO WENGI MAANA NI WATU WENYE KAZI RASMI NDIO INAKUWA NGUMU KUKOSA AKIBA YA MAANA BENK AAMUE KUKUNYIMA AU AONE NI NJE YA BAJETI ZAKE NA HAUKUMTAARIFU MAPEMA.
 
Kudai nje tayari unazo; kama unapenda kumpa aliyekuomba jibu litakuwa kuna pesa ninadai sehemu XXX nikilipwa tuu nitakupatia.
 
Kudai nje tayari unazo; kama unapenda kumpa aliyekuomba jibu litakuwa kuna pesa ninadai sehemu XXX nikilipwa tuu nitakupatia.
UTATA NI KWAMBA ANAKUWA KESHACHUKUA KITU HUKO NA ANATAKIWA KULIPA ON SPOT LUGHA YA NINADAI KWA WAKATI HUO KWAKE INAKUWA SI RAFIKI KABISA
 
Ina maana hana hela ya kukupa wewe iliyopo ni kwa matumizi yake na mipango yake.
 
Back
Top Bottom