Kidowle
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,484
- 3,258
Yataisha lakini sio leo wala kesho ila wazungu lazima wawashughulikieWanadai kunasiku yatakwisha kule middle east hiyo wanayoiita black gold.
Yataisha lakini sio leo wala kesho ila wazungu lazima wawashughulikieWanadai kunasiku yatakwisha kule middle east hiyo wanayoiita black gold.
Itakua umekulupuka na hujaelewa tafakari kwanza kabla ya kuchangiawaarabu wenzie wanakufa huko syria wengine wanafia bahari kuu,alafu panya watanzania wanaamka kumpinga Trump kupiga ban kwa wahamiaji kutoka nchi saba za kiarabu
kaza moyoItakua umekulupuka na hujaelewa tafakari kwanza kabla ya kuchangia
ha ha haaaaa!Allah amuongezee zaidi na zaidi wote tuseme inshallaah
Kila mtu uwa anafanya Israfu kutegemea na uwezo wa pesa alionao.Hiyo ni Israfu (matumizi mabaya ya mali/pesa), angesafirisha kwa njia za kwaida (cargo).
Nakuona Nakuona unavyo umia
UsiteteeKila mtu uwa anafanya Israfu kutegemea na uwezo wa pesa alionao.
Kwa mfano:
Unaweza enda ukanunua flat screen unches 40 milion moja na nusu wakati kuna tv za chogo unapata kwa laki na themanini. Wakatu unafanya hivyo kuna familia jirani ina maisha magumu sana.
Mtu unanunua gari lina thamani ya mils 50 kwa ajili ya mizunguko yako wakati kuna magari ya mils 12
Sioni mantiki ya kusema ni Israfu ni kwamba kila mtu ana matumizi ambayo kwake anaona muhimu ila kwa mwenye kipato cha chini sana zaidi yake anaona ni matumizi mabovu
That comes with the privilege of being born in a royal family.Usitetee
Asilimia 45 ya mapato yanaenda royal family
Israf hyo pesa hawajatolea jasho wanachota tu