Mtoto wa mama ninaetembea nae anataka tuoane

Inamaana huna hata hofu ya chembe ya Mungu ndani yako huu ubazazi unaotuandikia hapa unafikili wote ni wajinga hivi wewe ni ngiruwe au binadamu
 
Kama unataka kuipa hiyo familia laana ya Mtoto na Mama kuuana, basi Fanya kinachokufurahisha. Ila kama umejaribu kufikiria ustawi wa familia miaka kadhaa ijayo achana na wote. Ukishindwa kabisa muache huyo binti.
 
Huu Uzi unafanana na ufuatao

Kuna jamaa alitembea na mdada flani. Baada ya mda Yule jamaa akamwacha Yule mdada kwa kuona wazi anadeti na bosi flani

Baadaye Yule jamaa akaja kumpata msichana mwingine mashalaaah.

Muda ulivopita akagundua mama yake wa huyu msichana ni dadaake wa aliyekuwa anadate naye mara ya kwanza

Ungekuwa ni wewe ungefanyejee?
 
Back
Top Bottom