Mtoto ana miaka km 19 au 20, mama ana miaka kwa kukadria kama 37 hadi 40Yani huyo mama anamiaka 37? Tuchukulie amemzaa mwanae akiwa na miaka 20, Kwo huyo demu kwasasa atakuwa anamiaka 17? Ok fine tufanye ana 18, na wanasema kwa kawaida mwanaume huwa anavutiwa na wanawake aliowapita miaka 3 hadi 4, sasa tukipiga hesabu hizo inamaana wewe utakuwa na miaka 21,???
WELL
Nawewe unamiaka 22-23...Mtoto ana miaka km 19 au 20, mama ana miaka kwa kukadria kama 37 hadi 40
Nawewe unamiaka 22-23...
Hizo hesabu nilizokadiria hapo huwa haziongopi...