Mtoto Mtanzania wa miaka 16 alivyoongea kwa kujiamini mbele ya viongozi wa dunia umoja wa mataifa

Hongera sana binti.Umetuwakilisha vema..Ukiendelezwa vizuri utakuwa msaada mkubwa kwa Taifa lako na watu wa nchi yako Tanzania.Hongera sana.
 
Kwani kuna ubaya na nimeenda sio mara moja kwa taarifa unaacha mjadala unarukia ujinga
wewe ndo unaacha mjadala na kuanza kututangazia hapa ulienda new york kisa umemuona mwanamke mwenzio anaongea UN nyc, hv nyie wanawake ni lin mtaacha kuoneana wivu?!
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Hata viongozi wetu wangekuwa wanatoka miongoni mwa walioandaliwa ingekuwa jambo jema . Haya mambo ya kupata kiongozi kama ngekewa tuu, au zali kumwangukia kwa vile kundi Fulani na Fulani yamekinzana ni hatari. Ndio yanafikisha nchi kuendeshwa bila mwongozo kama getto
Kijana punguza hasira...
 
Hongera sana.... vilinde hizo hazina ziwa Victoria na hilo jabaliii cjui bismarck rock....watu wasije libeba wakasema lao... Hawachelewiii
 
Daaaaah dogo anakata ung'eng'e hata RAIS WA PUSHUP HAWEZI KABSA KUFIKIA LEVEL ZA DOGO!
 
Safi sana, ni jukumu letu sote kuwalinda na kuwaandaa watoto.....,Hongera kwa Getrude na wazaz wake
 
wewe ndo unaacha mjadala na kuanza kututangazia hapa ulienda new york kisa umemuona mwanamke mwenzio anaongea UN nyc, hv nyie wanawake ni lin mtaacha kuoneana wivu?!
wewe ni mpumbavu sana post yangu ya mwanzo nilimpa pongezi na nikaeleza kuwa huko nyuma kulikuwa na mwanamke mwingine mdogo kama yeye ambaye ni Faraja Kota which means tunafanya vizuri kama nchi haya marobot yaliyojaa humu nikutupotezea wakati ukiweka thread humu ujuwa ni for public consumption
 
n
Hata viongozi wetu wangekuwa wanatoka miongoni mwa walioandaliwa ingekuwa jambo jema . Haya mambo ya kupata kiongozi kama ngekewa tuu, au zali kumwangukia kwa vile kundi Fulani na Fulani yamekinzana ni hatari. Ndio yanafikisha nchi kuendeshwa bila mwongozo kama getto
Nishagundua unamsema Magufuli ole wako nakwenda kumwambia maana mmezidi alikuwepo JK mkasema ni Vasco da Gama kaja huyu mnalalama sasa nakwenda kumwambia subiri majibu yako.
 
Bila shaka ni kutoka zile familia bora...Maji hufuata mkondo.. we mwanangu wa Itagutwa huko subiria kudra za Mwenyezi Mungu na Elimu bure ya Dr Majipu.
 
Back
Top Bottom