Mtoto anavyoanza kujifunza ushoga

Hasa watoto wenye dalili kama hizi....

screenshot_2017-01-03-05-26-44-png.453666

credit to miss chagga
kabisa mkuu mwanume unajipigaje picha ya hivi
 
Kumweka houseboy kuwa mlezi wa watoto wawe wa kike au wa kiume ni hatari.
Yani my dia hakuna hata heri cku hizi,...kuna mdada wa kazi mahali flani hivi alikuwa anambaka mtt wa bosi wake mtt ni wa kiume alikuwa darasa la 2,. Yule mtt Alikuwa akirudi tuu Shule yule binti tena mkubwa mkomavu haswaa anampokea,anafunga geti la nje Na milango ya ndani anamchezea kidushe chake afu anamwambia ingiza huku hadi kile kitt kilizoea,....sasa cku moja alijisahau kufunga milango na cku hiyo boss wake aliwahi kurudi..yaani kilichotokeaaaaa..........!!!!
 
Aisee yaani kwekwel ningeua kabisa... au ningeamsababishia kilema cha maisha..... kwa ujinga aliomfanyia mwanangu
 
Ni muhimu kucheck afya za wafanyakazi kabla ya ajira.

Naunga mkono hoja. Zaidi sana kwa ajira za kutoa huduma kama hivi.
Inaweza kuonekana kama ubaguzi lakini ni bora kuweka mazingira safe kwa faida ya watoto hata na wengineo.
 
Tujifunze kuwa na house boy na house gal at the same house..
Ukimwacha house boy mwenyew akikosa kipoozeo unaeza mkuta hata kwenye banda la bata
 
Naunga mkono hoja. Zaidi sana kwa ajira za kutoa huduma kama hivi.
Inaweza kuonekana kama ubaguzi lakini ni bora kuweka mazingira safe kwa faida ya watoto hata na wengineo.
Kuna kazi nyingine hupewi ajira mpaka upeleke full medical check up, ingawa kama uko kwenye kisheria hawana uwezo wa kukunyima ajira. Si kunyanyapaa ila ni kulindana kwa pande zote.
 
Hawa wanaume wanaobaka au kulawiti watoto wangekuwa wanahasiwa kama ng`ombe kabla ya kupelekwa huko jela maana wametuchosha stupid kabisa.
 
Mtoto mdogo anaeanza kujifunza na kuelewa vitu mbali mbali, akawa exposed kwa tabia fulani au matendo fulani yawe mazuri au mabaya mara nyingi sana huendelea nayo jinsi ambavyo Wanaendelea kukua.
 
Yani my dia hakuna hata heri cku hizi,...kuna mdada wa kazi mahali flani hivi alikuwa anambaka mtt wa bosi wake mtt ni wa kiume alikuwa darasa la 2,. Yule mtt Alikuwa akirudi tuu Shule yule binti tena mkubwa mkomavu haswaa anampokea,anafunga geti la nje Na milango ya ndani anamchezea kidushe chake afu anamwambia ingiza huku hadi kile kitt kilizoea,....sasa cku moja alijisahau kufunga milango na cku hiyo boss wake aliwahi kurudi..yaani kilichotokeaaaaa..........!!!!
Mungu wangu, dunia imekwisha. Kuna dada alikuwa anafanya kazi City Bank, alikuwa na mtoto wa mwaka mmoja, basi siku moja alisahau kitu nyumbani, anarudi ghafla anamkuta dada amevua mtoto nappy anachezea gololi za mtoto.
 
Kuna kazi nyingine hupewi ajira mpaka upeleke full medical check up, ingawa kama una tumia matibabu pia kisheria hawana uwezo wa kukunyima ajira. Si kunyanyapaa ila ni kulindana kwa pande zote.

Ni kweli dear. Prevention is better.
 
Tena wengine ni ndugu kabisa wakigundulika wanakimbilia kuomba msamaha eti yaishe kifamilia upumbavu kabisa.
 
Yani my dia hakuna hata heri cku hizi,...kuna mdada wa kazi mahali flani hivi alikuwa anambaka mtt wa bosi wake mtt ni wa kiume alikuwa darasa la 2,. Yule mtt Alikuwa akirudi tuu Shule yule binti tena mkubwa mkomavu haswaa anampokea,anafunga geti la nje Na milango ya ndani anamchezea kidushe chake afu anamwambia ingiza huku hadi kile kitt kilizoea,....sasa cku moja alijisahau kufunga milango na cku hiyo boss wake aliwahi kurudi..yaani kilichotokeaaaaa..........!!!!

Asee!, ndo maana watu wanaona bora kupeleka mtoto mchanga day care ambapo kuna common space na vitu vinafanyika wakati kuna watu wengine around. Kwa kweli siwalaumu. Maana hata ndugu wenyewe siku hizi huwezi kuwaamini kuachia watoto.
 
Tena wengine ni ndugu kabisa wakigundulika wanakimbilia kuomba msamaha eti yaishe kifamilia upumbavu kabisa.
Yalitokea kwenye familia moja, walipanga nyumba ya vyumba vitatu Sinza, sasa dada mkubwa alikuwa anapigwa sana na mume wake Arusha, siku moja kipigo kilimkoloea akikimbilia Dar na watoto wake watatu huyooo kwa mdogo wake wake ambae ndiyo kwanza yuko kwenye ndoa changa watoto wote under five.

Dada amefika na watoto wake wawili wakike na wakiume, wote wako secondary. Basi ikaamuliwa yule mtoto wa kiume alale na mdogo wake wa kiume ambae yuko four years, na mama mkubwa na binti yake walale na wa kike na dada wa kazi. Yule mtoto wa kiume wa mama mkubwa si akawa anamnunulia yule mtoto pipi ni kumfigisu figisu usiku. Siri imetoka siku moja shughuli ilikuwa nzito asubuhi mtoto anashindwa kwenda shule.

Fikiria umemsaidia dada yako kwenye matatizo kumbe anakuharibia watoto wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom