mtoto amezaliwa ubongo wake ukiwa nje.

Tunamuomba Mwenyezi MUNGU amlinde kwani tunaamini
yote ni mapenzi yake kumuwezesha huyo mtoto
azaliwe AMINA!

Haiwezi kuwa mapenzi tusimsingizie Mungu, soma James 1:13 "When under trial, let no one say: ‘I am being tried by God.' For with evil things God cannot be tried nor does he himself try anyone." So God is never the source of the problems or wickedness you see in the world around you.
 
Tunamuomba Mwenyezi MUNGU amlinde kwani tunaamini
yote ni mapenzi yake kumuwezesha huyo mtoto
azaliwe AMINA!

Kama ni mapenzi ya Mungu azaliwe hivyo basi hakuna haja ya kumuomba. What i know is that ni tatizo tu linalokea ambalo wataalamu wanaweza zaidi kutuelezea. Na ndio maana wote tunapaswa kumuomba Mungu ipatikane njia ya kutatua tatizo hilo. Poleni sana wazazi wa mtoto. Lingine utaalamu wa Kibongo bado ni duni lingepaswa julikana mapema hata kabla ya kuzaliwa. We need capacity building esp in those areas.
 
Jamani inashangaza sana, Tumwombee huyu mtoto na wazazi wake pia,
kwani hakuna kinachoshindikana kwa Muumba
 
ALLAHU AKBAR..
huyu kwa hapa bongo hana muda watazika..ubongo hautakiwi kabisa ukae njee.cjui watamfanyia nini.kuuudhibiti ubongo usikae njee
 
Back
Top Bottom