Mtoto afariki kutokana na kusukwa nywele

Shukran kwa kushare habr,japo huwez kufa kwa kusukwa nywele labda km mtoto alikuwa na maradhi mengine...
 
Jamani!!! R.I.P mtoto

Mbona watoto wanapendeza zaidi na vile vistyle vyao vya kitoto au kubana ponny tails... Wamama Mungu anawaona!
 
Habari ya uwongo na iko kwa ajili ya mazuzu.
Jina LA mama ni nani?
Jina LA mtoto ni nani?
Jna LA msusi na saluni
Jina LA hospital aliko pelekwa mtoto
Jina LA daktari aliyempokea mtoto
Jina LA daktari aliye thibitisha kifo
Chanzo cha taarifa yako.
Ata kama ni habari ya uongo ujumbe ushafika!!! Kuna wazazi wanawafanya hivi kweli watoto wao
 
Habari ya uwongo na iko kwa ajili ya mazuzu.
Jina LA mama ni nani?
Jina LA mtoto ni nani?
Jna LA msusi na saluni
Jina LA hospital aliko pelekwa mtoto
Jina LA daktari aliyempokea mtoto
Jina LA daktari aliye thibitisha kifo
Chanzo cha taarifa yako.
Ningeshangaa sana kama watu kama nyie mngekosekana

Nahisi Tanzania ingebadilika ghafra
 
TAFADHALI SHARE UJUMBE HUU WA KUSIKITISHA ILI KINA MAMA WOTE WAUSOME NA KUBADILIKA.

Leo tarehe 27-04-2017 kuna dada amefiwa na mwanae wa miaka miwili aliyekuwa amelazwa hospitali kuanzia siku ya Ijumaa Kuu. Hapa Jijini Dar es Salaam.

Chanzo cha kifo cha mtoto huyu ni kutokana na mama yake kumsuka nywele mtindo wa DREAD ambapo nywele zinasukwa kwa kusokotwa sana.

Mtoto alisukwa siku ya kwanza lakini hakumalizwa. Siku ya pili Alhamisi akamaliziwa kusukwa. Siku ya Ijumaa ambayo ndo ilikuwa Ijumaa Kuu mtoto alianza kuumwa mwili mzima.

Walipoona anazidi kuumwa wao wakahisi nywele walivyombana itakuwa chanzo wakaanza kumnyoa haraka. Lakini wakiwa wanaendelea kumyoa hali ikazidi kuwa mbaya wakampeleka hospitali hivyohivyo bila kummalizia kumnyoa.

Walipofika hospitali daktari aliwagombeza sana kwa kumsuka mtoto kwa kumvuta kiasi hicho nywele zake. Alianza matibabu na walimalizia kumnyoa nywele.

Hali iliendelea kuwa mbaya akawekewa mashine ya kumsaidia kupumua. Bahati mbaya mchana wa leo mtoto kafariki.

Chanzo cha kifo kinasemekana misuli ya kichwa ilivutika kwa kiwango kikubwa ikapelekea matatizo mengine yaliyosababisha kifo.

FUNZO: Kina mama acheni kuwafanyia watoto wenu mambo ya watu wazima. Waacheni watayafanya wao kwa muda wao. Waacheni waishi maisha ya kitoto. Madai yenu ya kwenda na wakati ndo matokeo yake haya.

MUNGU ATUSAIDIE.
Duh pole yake aisee.
 
Habari ya uwongo na iko kwa ajili ya mazuzu.
Jina LA mama ni nani?
Jina LA mtoto ni nani?
Jna LA msusi na saluni
Jina LA hospital aliko pelekwa mtoto
Jina LA daktari aliyempokea mtoto
Jina LA daktari aliye thibitisha kifo
Chanzo cha taarifa yako.
hii ndio bongo ,bongo nyoso bongo balaaa

Habari za uwongo kama hizi zinatembea kwa kasi sana ila zile za ukweli zinatembea mwendo wa taratibu mithili ya kobe.
 
Hii habari ilitakiwa kuwa kwenye gosips kule.
ni kwa ajili ya kucheka na kusikitika kusikokuwa na uhusiano wowote
 
Nakumbuka kipindi hicho kuna prof. moja chuo kikuu huwa anasema katoto kadogo unakaremba ili akamfurahishe ni ujinga

Kweli Leo nmejifunza kitu hapa
 
Back
Top Bottom