Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,638
- 12,061
mnaoponda wote ni team diamond, mambo mengine bhana, aende brela basi akasajili hlo jina lake liwe lake peke yake, teh!Huyu kiba hajielewi, yaani anaona mwenzake anaitwa ruby na yeye anamuita mbwa wake ruby. Halafu anaulizwa kuhusu msanii ruby yeye anasema ruby ni mbwa wake si dharau hizo!