Mti wenye matunda nisharti upigwe mawe

Lolen lee5

Member
Feb 8, 2024
52
57
Mti wenye matunda sharti upigwe mawe ndivyo ilivyo pia kwa kiongozi bora na mzalendo kama MAKONDA

Makonda ni miongoni mwa viongozi wachache barani Africa waliotayari kupoteza hata kile walicho nacho kwa ajili ya kuwapigania wananchi wake.

Sote nimashaidi tumeishuhudia kazi iliyo tukuka ya P. Makonda kwa kila nafasi anayowekwa. Hata alipoteuliwa kuwa mwenezi makonda alipanyoosha palipo pinda na alirudisha amasa ndani ya chama.

Kwa bahati mbaya kabisa maisha ya wapenda amani mikononi mwa maadui hayana thamani. leo hii bwana makonda anarushiwa mawe kutoka kila upande kuanzia kwenye makundi ya kilaia mpaka kwa wanasiasa ususani maasimu wake wa ndani ya CCM.

Na kelele zote hizo ukiwasikiliza hao wanao mzodoa utagunduwa kabisa siitu kwamba hawana hajo bali niwatu waoga na warafi wanaotishwa na ufanisi wake na misimamo yake.

Nitowe Rai kwa Watanzania wenzangu kama kuna kiongozi anayetakiwa kuungwa mkono kwa sasa basi ni P Makonda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom