Mtella Mwampamba kumfuata Zitto Kabwe?

Kwa hiyo imeanzishwa Thread ya kumjadili mtu squarely? Tuna safari ndefu kwelikweli.
bora umewambiwa ukweli ni aibu kwa watu wenye akili timamu kuanza kujadili watu,
hivi kama taifa mambo ya msingi. ya kujadiliana ili kujenga taifa lililopevuka kifkra hakuna,
mpaka mjadili watu?

Taifa lenye watu wengi wa namna hii usitarajie kusonga mbele kiuchumi.
 
Mkuu umeenda mbali sana, nia haikua kutaka kumjadili mtu ambaye sina ukaribu nae na wala siwezi kufanana nae japo namfaham! Mimi nimeeleza tu kile nilichokisikia baada ya kushtuka kwa yanayojadiliwa huku jamaa kila siku anahangaika na media kusaka umaarufu.Inawezekana snafurahi anapoona jina lake maeneo kama haya lakini halikua lengo langu kama uwazavyo wewe.
 
Binafsi sikupenda kabisa kumjadili huyu jamaa lakini ilikua kujaribu kupata kuona kama wadau nanyi mnaona kweli Zitto avutiwe na lipi kwake?
 
Mkuu umeenda mbali sana, nia haikua kutaka kumjadili mtu ambaye sina ukaribu nae na wala siwezi kufanana nae japo namfaham! Mimi nimeeleza tu kile nilichokisikia baada ya kushtuka kwa yanayojadiliwa huku jamaa kila siku anahangaika na media kusaka umaarufu.Inawezekana snafurahi anapoona jina lake maeneo kama haya lakini halikua lengo langu kama uwazavyo wewe.
Mkuu, inaonesha kwamba umetibua dili analo lifahamu huyo Ben Saanane
 
Aendelee kusubiri tu ...labda anaweza kupewa u- afisa mtendaji ktk kata ya Itende ...ikishindikina anaweza kupewa hata ukatishaji ticket kwenye mabasi yaendayo pole pole...teh ..teh..teh.. Akijiloga kwenda kwa zzk atapotea kama Afwande Sule
Lakini mkuu hii imekua ni hulka kwa vijana wengi Tanzania.
 
Nilimuona asubuhi azam tv kwenye "morning trumpet" naomba nikiri jamaa ni HEWA, hamna kitu kichwani!
Jamaa wala hata sio HEWA! maana hewa nayo ni kitu pia,
kifupi jamaa ni vacuum
 
Back
Top Bottom