Mwampamba unawapamba wajamaa wepi waliosalia bongo? Au umeamua kutangaza sera za ADC wazalendo kiana? Hiyo sheria yao ni zuga tu, huamini subiri ifikishwe bungeni uone itakavyokuwa na loopholes za kutosha kama ile cyber law. Nauona mkwamo labda jamaa ailazimishe kama kawaida yake. Lakini atakwama tu kwani wabunge wa ccm ni wafanyabiashara tena wakubwa tu na hata CC na NEC wajumbe wote ni wafanyabiashara. Si mlimwona yule aliyekuwa bandarini akiilinda sukari yake? Sheria hiyo ataipitishaje sasa!