Mtela Mwampamba aliukana ualimu, akauona ni ajira ya hovyo. Leo anapewa cheo cha Utumishi wa Umma!

Tangia Mtela Mwampamba amalize degree yake ya kwanza pale chuo cha ualimu-DUCE na kupangiwa kituo cha kazi na serikali huko Mbeya hajawahi hata kuripoti kituoni hapo.

Mtela Mwampamba aliukana ualimu na degree aliyosomea aliitumia kama daraja kufanikisha harakati zake za kisiasa akauvaa ukada kwa kuanzia Chadema na alipoona kule hakuna maslahi kwake akaingia CCM.

Toka aingie CCM amekuwa ni msaka vyeo na ubunge bila mafanikio. Aliunda kikundi hewa ili kujisogeza karibu na macho ya viongozi aonekane.

Leo Mtela Mwampamba anateuliwa kwenda kuwa mtumishi wa umma na mbaya zaidi kwenda kuwasimamia hao waalimu ambao mbali na yeye kuwa na degree katika fani hiyo bado aliuona kama ajira ya hovyo.

Mtela Mwampamba kuteuliwa kuwa mtumishi wa umma kada aliyoikana hapo kabla siyo sahihi hata kidogo. Narudia tena siyo sahihi hata kidogo na huku ni kuwafedhehesha watumishi ambao wamejitolea kuutumikia utumishi wa umma kwa moyo mmoja. Hawa watumishi ndiyo walipaswa kuwa promoted na siyo kuteua makada walioukana utumishi wa umma.

Mimi nikiwa kama mwana Ubungo anatangaza rasmi kutokumpa ushirikiano Mtela Mwampamba kutokana na kutokuridhishwa na uteuzi wake.

Naomba nieleweke kuwa sina nia mbaya yoyote ile ila pale taratibu zinapokiukwa na pale wazalendo wanapopuuzwa ni lazima tuwasemee.

Rais kumteua Mtela Mwampamba kwenye utumishi wa umma ameenda kinyume na kauli mbiu yake na anaweza kupoteza imani yake kwa jamii. Hili siyo sahihi hata kidogo!

Hapana kwanza akupangiwa mbeya Alipangiwa mkoani Mwanza wilaya ya Kwimba ktk shule ya sekondar Sumve lkn hiyo siyo sababu ya kupinga uteuzi wake,huko halmashauri kuna uozo mwingi sana na inaokatisha tamaaaa,binafsi nampongeza bwana Mtela kupata nafasi hiyo,yeye akafanye kazi kwakua yeye ni mtanzania na ni msomi,shahada Yake ya kwanza Alisoma Somo Moja pamoja na Political science and public administration hivyo ana sifa kabisa kupata nafas hiyo,hongera sana Mtela mwampamba Piga kazi,kupanga nikuchagua tuache wivu Usiokuwa na tija
 
Naona watu wanashindwa kuelewa taratibu za utumishi wa walimu. Ukimaliza chuo si lazima uitumikie serikali. Serikali huajiri walimu moja kwa moja kwa sababu ya upungufu uliopo wa walimu. Hata hivyo aliyepangwa halazimishwi kuripoti kama anaona anapo pengine pa kwenda kuitumia elimu yake.

Tusiaminishane kwamba lazima uki-graduate basi uikubali kazi ya serikali kwa wakati huo.

Cha muhimu tuikumbushe Bodo ya mikopo ianze kukata pesa zao mapema kwa hawa ma-DAS maana wengi ni graduates.
 
Tangia Mtela Mwampamba amalize degree yake ya kwanza pale chuo cha ualimu-DUCE na kupangiwa kituo cha kazi na serikali huko Mbeya hajawahi hata kuripoti kituoni hapo.

Mtela Mwampamba aliukana ualimu na degree aliyosomea aliitumia kama daraja kufanikisha harakati zake za kisiasa akauvaa ukada kwa kuanzia Chadema na alipoona kule hakuna maslahi kwake akaingia CCM.

Toka aingie CCM amekuwa ni msaka vyeo na ubunge bila mafanikio. Aliunda kikundi hewa ili kujisogeza karibu na macho ya viongozi aonekane.

Leo Mtela Mwampamba anateuliwa kwenda kuwa mtumishi wa umma na mbaya zaidi kwenda kuwasimamia hao waalimu ambao mbali na yeye kuwa na degree katika fani hiyo bado aliuona kama ajira ya hovyo.

Mtela Mwampamba kuteuliwa kuwa mtumishi wa umma kada aliyoikana hapo kabla siyo sahihi hata kidogo. Narudia tena siyo sahihi hata kidogo na huku ni kuwafedhehesha watumishi ambao wamejitolea kuutumikia utumishi wa umma kwa moyo mmoja. Hawa watumishi ndiyo walipaswa kuwa promoted na siyo kuteua makada walioukana utumishi wa umma.

Mimi nikiwa kama mwana Ubungo anatangaza rasmi kutokumpa ushirikiano Mtela Mwampamba kutokana na kutokuridhishwa na uteuzi wake.

Naomba nieleweke kuwa sina nia mbaya yoyote ile ila pale taratibu zinapokiukwa na pale wazalendo wanapopuuzwa ni lazima tuwasemee.

Rais kumteua Mtela Mwampamba kwenye utumishi wa umma ameenda kinyume na kauli mbiu yake na anaweza kupoteza imani yake kwa jamii. Hili siyo sahihi hata kidogo!
Ma-DAS wote wapya wafike na CV na vyeti vyao halisi?????????????????????????????
 
Mbona havihusiani?wangapi wameacha professional zao na kukimbilia kwingine?huo ni ujuha .mwampamba aligombea kwa mara ya kwanza ubunge kupitia chadema .alipokosa alihoji kwanini hai itoe wabunge wa viti maalum watatu huku yeye amepata kura nyingi ingawa hakupata ubunge?kazi ikaanza hapo.
 
Tangia Mtela Mwampamba amalize degree yake ya kwanza pale chuo cha ualimu-DUCE na kupangiwa kituo cha kazi na serikali huko Mbeya hajawahi hata kuripoti kituoni hapo.

Mtela Mwampamba aliukana ualimu na degree aliyosomea aliitumia kama daraja kufanikisha harakati zake za kisiasa akauvaa ukada kwa kuanzia Chadema na alipoona kule hakuna maslahi kwake akaingia CCM.

Toka aingie CCM amekuwa ni msaka vyeo na ubunge bila mafanikio. Aliunda kikundi hewa ili kujisogeza karibu na macho ya viongozi aonekane.

Leo Mtela Mwampamba anateuliwa kwenda kuwa mtumishi wa umma na mbaya zaidi kwenda kuwasimamia hao waalimu ambao mbali na yeye kuwa na degree katika fani hiyo bado aliuona kama ajira ya hovyo.

Mtela Mwampamba kuteuliwa kuwa mtumishi wa umma kada aliyoikana hapo kabla siyo sahihi hata kidogo. Narudia tena siyo sahihi hata kidogo na huku ni kuwafedhehesha watumishi ambao wamejitolea kuutumikia utumishi wa umma kwa moyo mmoja. Hawa watumishi ndiyo walipaswa kuwa promoted na siyo kuteua makada walioukana utumishi wa umma.

Mimi nikiwa kama mwana Ubungo anatangaza rasmi kutokumpa ushirikiano Mtela Mwampamba kutokana na kutokuridhishwa na uteuzi wake.

Naomba nieleweke kuwa sina nia mbaya yoyote ile ila pale taratibu zinapokiukwa na pale wazalendo wanapopuuzwa ni lazima tuwasemee.

Rais kumteua Mtela Mwampamba kwenye utumishi wa umma ameenda kinyume na kauli mbiu yake na anaweza kupoteza imani yake kwa jamii. Hili siyo sahihi hata kidogo!
Kumbuka DAS ni Bosi WA magavana tu. Walimu wapo chini ya DED. Yeye ni mtawala wa Ofisi ya Mkuu WA Wilaya. Fanya utafiti kidogo
 
Hivi nyie mnaounga mkono uteuzi huu mnatafakari kwa kina kweli? Iweje mtu akatae kutumikia jamii eti kwa sababu maslahi ni duni then awaache ambao wametumikia kwa taabu miaka nenda rudi yeye atoke from no where awe boss wao! Hili tunalipinga kwa nguvu zote. Dhana ya utumishi wa umma haiko hivyo hata kidogo! Tusiwavunje wazalendo moyo! Hivi Mtela Mwampamba ana uzalendo gani kustahili cheo hicho? Mtu tapeli kama yeye alitakiwa aachwe ahangaike kama ailivyoanza na siyo kumpa vyeo asivyostahili!
 
Mi nawaonea huruma sana watumishi wa umma maana nafasi zao zimegaiwa watu wengne. Wengi wa watumishi wamechoka kimaisha lakn wanajituma kufanya kazi kwa bidii na hawaonwi na kupewa PROMOTION.
 
Hili suala la ma DAS ni jambo dogo sana ambalo halihitaji attention kubwa hivi. Maana sijawahi kuona umuhimu wa watendaji wa hawa ndugu katika kuleta maendeleo.
 
Hivi Amon Mpanju amewahi kuwa mtumishi wa umma!? Mbona uteuzi wake kuwa naibu katibu mkuu wa wizara ya sheria na katiba haukupigiwa kelele namna hii!? Ni nani asiyejua kuwa Mpanju ni mwanaCCM mtiifu na alishiriki kwenye mchakato wa kura za maoni katika kuusaka ubunge jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM. Tuache double standards.
hata hivyo hongera sana mkuu kwa kupata uDAS,muombe Mungu jamaa wasijishtukie,wazibe masikio la sivyo watakutengua.Makosa yaliyofanywa kwa Amoni hajawezi kuhalalisha makosa ktk uteuzi wako.Usitulaumu sisi,laumu kanuni na sheria
 
Ma-DAS wote wapya wafike na CV na vyeti vyao halisi?????????????????????????????
Maajabu ya Musa haya....unapewa kazi ndo unaambiwa upeleke CV???? Only in Tanzania...kipindi cha serikali ya mtakatifu...
 
Back
Top Bottom