Mtazamo wangu: Mambo ya Kujiuliza

Hivi kama makonda anatumia vyeti feki je yeye hakuhakikiwa na kama ni hvyo mbona hajaita press kukanusha hayamaneno yaliyopo kwenye mtandao au kweli ?
 
Mkuu mi najua elimu kipimo cha kujua kiongozi ila kiongozi hupimwa kwa busara katika uongozi wake hili la vyeti limekuja baada ya madawa je bila madawa tunge mpima na nini katika uongozi wake[/Q
tungempima kwa busara

swali kwako tangu aanze uongozi umeweza ona/hisi/ uwepo wa busara kwake.

ufupi busara hana na elimu hana ndo maana anapata bashite kwa kila anacho jaribu kifanya
 
Kama ambavyo tuliambiwa fulani ni fisadi na wana nyaraka za kuthibitisha hilo lakini baadae tukaambiwa na hao hao mwenye ushahidi apeleke mahakamani...
Simumini bashite na simuamini mwanasiasa wote wale wale...
Ila moshi ukivuma, ujue kuna moto ndani. Dawa ni kudhibitisha
 
Mtumishi wa Mungu anasimama anasema ana vyeti vya Paul Makonda kikiwemo kile anachodai Makonda Alipata Zero.

Maswali yakujiuliza
1. Gwajima ametoa wapi cheti chenye Zero kwakua serikali huwa haitoi vyeti kwa watu wenye zero?

2. Kama kweli Makonda anatumia majina mawili tena mbona Gwajima hatuletei hati ya Mwanasheria ya Makonda kubadili jina?

3. Je nilini Baraza la mitiani limeanza kutoa vyeti kwa mtu yeyote aliehitaji hatakama sio vyake?

4. Je inawezekana vipi Makonda na Gwajima wote kumiliki vyeti original vya mtu mmoja?? Kama vya upande mmoja sio Original umevitoa wapi??
Wewe ndo msemaji wa Makonda?
Mwache ajibu mwenyewe.
 
vyeti vyaweza kuwa original au kopi,leaving certificate pia ni cheti na hutolewa shuleni qata kwa wenye div zero kama makonda
 
Mtumishi wa Mungu anasimama anasema ana vyeti vya Paul Makonda kikiwemo kile anachodai Makonda Alipata Zero.

Maswali yakujiuliza
1. Gwajima ametoa wapi cheti chenye Zero kwakua serikali huwa haitoi vyeti kwa watu wenye zero?

2. Kama kweli Makonda anatumia majina mawili tena mbona Gwajima hatuletei hati ya Mwanasheria ya Makonda kubadili jina?

3. Je nilini Baraza la mitiani limeanza kutoa vyeti kwa mtu yeyote aliehitaji hatakama sio vyake?

4. Je inawezekana vipi Makonda na Gwajima wote kumiliki vyeti original vya mtu mmoja?? Kama vya upande mmoja sio Original umevitoa wapi??
Sidhani kama upo kwenye orodha ya wanaojitoa fahamu. Wewe utakuwa kwenye orodha ya wasio na kitu kichwani lakini hawakuthubutu kununua cheti.

Kuna sehemu Gwajima alisema ana vyeti Original?
 
USITULETEE SIASA HAPA. TUNAJUA FASIHI SIMULIZI. Kama kaongea hivyo ina maana anazo nyaraka harali hata kama ni copy lakini zenye ukweli. Kuna lugha ya majukwaani ndio iliyotumika hapo, kwa nia ya kufikisha ujumbe kwa makali yake.
Harali= Halali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom