HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
Tatizo bunge nalo ni jipu. Hujiulizi ilikuwaje kwa mfano Kamati ya bunge (PAC) haikuwahi kusema chochote kuhusu makontena 11,000, floor meter miaka 5 haifanyi kazi au wizi wa TCRA? Wabunge wamekazana kulilia safari za Ulaya wakati nchi inatafunwa ndio hao unataka kuaminisha watu kuwa wanatetea wananchi?