Delly Mandah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 391
- 194
Duh me napitaaaaa
swali dgo sana..kwann mbaumiza vichwa vyenu kujua hili..??Kwa ujumla wazungu 90% wanaunga mkono, ikiwa uko usa kwanini usibadilishwe mtazamo!
Sisapoti wala sipingi.
Kwa kifupi, sijali kuhusu maisha binafsi ya watu wazima wenye akili zao timamu.
Unafananisha ugonjwa na mambo binafsi ya mtu,Kwani mbona UKIMWI tunauchukia lakini bado tunauongelea?Kuongelea ushoga sio kwamba tunaupenda...bali tunakumbushana jinsi ulivyo wa kuchukiza kwa kila sura na hali.
Mungu tuepushie na utupe moyo mkuu wa kuishi na ndugu zetu wa namna hii...
Wewe nawe,naona umehemka wapi nimenyoosha kidole?kwani ushoga unapendwa?Kama imekugusa pole sana.Kumbe ni jambo baya ndio maana unaomba linitokee?Nishamalizia kwa kuomba Mungu...Unafananisha ugonjwa na mambo binafsi ya mtu,
Seriously!!!
Wahenga walisema,
"Ukitaka kutaja aibu za mwenzako, angalia kwanza zako"
"Ukimnyooshea mwenzio kidole cha shahada ujue vinne vyote vinakuangalia wewe"
"Usihukumu kabla hujahukumiwa"
Na mimi nakwambia,
"Hakuna m'bora mbele ya Mwenyezi Mungu isipokua Mcha Mungu"
Wewe ndio umehemka wapi nimekuombea??? likutokee kivipi sasa,Wewe nawe,naona umehemka wapi nimenyoosha kidole?kwani ushoga unapendwa?Kama imekugusa pole sana.Kumbe ni jambo baya ndio maana unaomba linitokee?Nishamalizia kwa kuomba Mungu...
Duwa la kuku halimpati mwewe
Usinilishe manenoWewe ndio umehemka wapi nimekuombea??? likutokee kivipi sasa,
ndio mnavyokimbilia mkiambiwa ukweli utasikia " Najua limekugusa"
Tangu mwanzo ndio maana nikasema na hua nasema kila mara, tuache kuliongelea jambo hili, hamjui tu jinsi mnavyoliongelea ndio linavyokaa vichwani mwa watu na wengine kushawishika kujaribu, ukizingatia hiki ni kizazi cha kujaribu kila baya,
Kama una watoto hebu waweke chini hlf anza kuwaambia khs ushoga na athari zake, baada ya miezi kadhaa njoo ulete mrejesho hapa.
Kwani mkikaa kimya na kuangalia yanayowahusu mtapungukiwa na nini??
au mnavyokua mnaliongelea mnakua mnajenga nini??
Mimi hata kujadili haya masuala huwa naona ni machukizo tuNi wazi kwamba suala la mapenzi ya jinsia moja limekuwa likishamiri katika dunia ya leo hasa ushoga(mapenzi kati ya mwanaume na mwanaume).
Ni dhahiri kwamba kimaadili (kiimani na kiroho) ni jambo la kuudhi na kuchukiza kwani kuna muda unajiuliza hivi Mungu alikosea kumuumba mwanamke hata tukengeuke na kufanya uchafu huu?
Jambo la kushangaza ni pale unapokuta viongozi wakubwa kisiasa (ambao tunaamini wana akili kubwa pia) wanaunga mkono upuuzi huu na kuutetea. (ref marekani,uingereza nk).
Hata wasomi walio ndio wengi wanaanzisha asasi za kutetea huu uchafu. Nabaki kujiuliza ni kwa nini?
Kuna connection yoyote kati ya siasa, elimu na huu ujinga? NAOMBA WANA JF TUTIZAME HILI NA TUWE MSTARI WA MBELE KULIKEMEA.
Punguza kushabikia mambo yasiyo na faida katika jamii, kuna mengi ya kuongelea kuliko hilo,Usinilishe maneno
Nimemaliza.Ila tutaongelea tu
Sema wewe, wengine tukisema tunaonekana ni wamoja wao.Mimi hata kujadili haya masuala huwa naona ni machukizo tu
UmemalizaPunguza kushabikia mambo yasiyo na faida katika jamii, kuna mengi ya kuongelea kuliko hilo,
By the way kila mtu na akili zake endelea.