SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
- Thread starter
- #21
Nimeshangaa kumsikia Obama anaongea uongo alipokuwa Warsaw kwamba Wamarekani wote wamesikitishwa mno na mauji ya polisi, Dallas. Obama anajua fika kwamba kuna baadhi ya watu walipata ahueni, waliona kama "wamerudisha magoli" kwa kuuliwa polisi. Na ukweli ni kwamba bila kuuliwa polisi kusingekuwa na mjadala mpana kuhusu ubaguzi na mauaji ya wanaume weusi.
Obama ilibidi atafute lugha nyingine ya kueleza masikitiko yake, si kusema uongo.
Mkuu umesema ukwel mtupu.Obama ameamua kutumika baada ya kusimama kama rais mwenye msimamo