Mtarajiwa wangu simuelewi

Uzinzi umeua jambo jema lililotarajiwa pole,pole ungevuta subira yumkini usingefika hapa leo
 
Mwanaume akikutoa bikira mshukuru kwa kukuonesha dira na namna ya mambo hayo yaendavyo,.masuala ya kugandana kama super glu hayaa,.mana bikira ishakuwa issue saiv cjui kisingizio au kweli mnawapendaga.....mmmhh!!!
 
Habari wana jamii.

Naomba mnisaidie yapata miaka mitano sasa toka nimekuwa naye kwenye mahusiano na tukapanga kuoana mwaka huu mwez wa 4 huu mpango tuliuweka toka mwaka 2012.

Cha ajabu namuuliza tarehe yakuja nyumban anijibu, nikimtumia SMS hajibu nikipiga simu hapokei na yeye yupo Mbeya me npo Mwanza.

Na hapo nyuma nimekataa wachumba wengi sana kwa ajili yake, nipo njia panda sijui chakufanya, mawazo yenu ni ya muhimu sana.

Mimi pia mtarajiwa wangu simuelewi kwa hiyo ni pm.Fursa hii
 
Kwahiyo unamlazimisha hata kama kaahirisha?

Ni kawaida kubadili mawazo sio lazima akuoe hata kama anakuona we ni jipu. Suala la kuoana ni la milele, kwanini alazimishe? Tafta wengine ambao hawajaoa kama mimi
Hahahahahahaha,Mkuu; we nooooooma......yaaan umeamuuua kujitengenezea mazingira kabiisaaa...haahahah
 
Dada usitanie miaka 7 unadate tu....sasa hapo ulikua unasubir ndoa au mlikua mnataka kubariki ndoa
 
Back
Top Bottom