Mtanzania: Janga jipya la elimu, maelfu wafeli kidato cha pili, darasa la nne...

Mtanzania imeripiti hii habari si kitaalamu bali ki-Ectopic ......Yapo magazeti mengu yaliyoripoti kwa kutoa changamtor mfano mzuri ni matokeo ya shule za kule mtwara....na imeleta balancing ya uchambuzi wa habari hii.
Magazeti yote hayawezi kuandika habari sawa.. Kama Mtanzania wameamua kujikita kwenye wale waliofeli shida iko wapi? Mmelazimishwa kusoma hilo gazeti?
 
Mleta mada umeandika nini sasa, unalishutumu gazeti eti limeandika uongo wakati ukweli wewe mwenyewe huujui!!
Punguza mahaba, weka data hata tujadili
 
jingalao, wakishafikia 2000+ ni maelfu tayari. Na kwa elimu yetu it is unlikely that won't happen. Wala haihitaji press conference sijui ya nani kuthibitisha hilo; it is so obvious kama ambavyo tuna uhakika kesho Jua litachomozea Mashariki.
 
Gazeti hili linaripoti eti maelfu ya wanafunzi kidato cha pili wamefeli kwenye mitihani yao.Ni gazeti pekee lililotoa taarifa ya matokeo ya kidato cha pili kwa angle hii ya kichochezi.

Hivi kuna mtu atalalamika akisikia gazeti hili au mhariri wake kafungiwa?

Namuunga mkono Rais kwa aslimia 100 juu ya kuwaadabisha waandishi makanjanja wa aina hii.
kwani wewe si Jinga lao ama?
 
We kweli jingalao kwahiyo maelfu hawajafeli.
maelfu ni wangapi?90,000???99000? au 11000 au 1000??Au ndio kama ile habari ya Ng'oimbe 17,000.Yaani waandishi wa kushikiwa akili wanafikiria kielfu elfu tu
 
Gazeti hili linaripoti eti maelfu ya wanafunzi kidato cha pili wamefeli kwenye mitihani yao.Ni gazeti pekee lililotoa taarifa ya matokeo ya kidato cha pili kwa angle hii ya kichochezi.

Hivi kuna mtu atalalamika akisikia gazeti hili au mhariri wake kafungiwa?

Namuunga mkono Rais kwa aslimia 100 juu ya kuwaadabisha waandishi makanjanja wa aina hii.[/QUOTEasilimia kubwa wanafunzi wengi wamepata div 4 na 0, sasa kama sio kufeli ni nini hata kama wanapitishwa?
 
Eti kuna mtu kakupa like... wanafunzi waliotainiwa walikuwa 435,075 waliofaulu ni 372,228 ambao ni sawa na asilimia 91.02.


Ukichukua watainiwa wote 435,075 ukatoa waliofaulu 372,228 waliofeli ni 62,847 yaani wanafunzi Elfu Sitini na Mbili mia Nane na Arobaini na Saba wamefeli....hao sio maelfu
jingalao

Nimekufafanulia kama jinga natumaini utaelewa..
Kwa nini lisiseme malaki wamefaulu...?Kwa nini walifikia kusema kuwa kuna janga la kielimu?wamelinganisha na lini au wapi??
 
Kwa nini lisiseme malaki wamefaulu...?Kwa nini walifikia kusema kuwa kuna janga la kielimu?wamelinganisha na lini au wapi??


Basi Mkuu jingalao naona tatizo lako ni unataka magazeti yote yaandike kama unavyotaka/unavyofikiria wewe...ila hili tatizo analo pia mukulu sio wewe peke yako.
 
Back
Top Bottom