Mgoroko
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 769
- 446
Kuna vijana ni wanasayansi wazuri sana ila huwa hawapati fursa ya kuwasilisha project zao kutokana na ufukara,adhani kuna haja serikali imaweka mfuko maalum kwa watu kama hawa,maana ndio chachu ya wataalamu wazalendo wa badaye.View attachment 329604
Msichana mtanzania Aneth David Mwakilili ni miongoni mwa wasomi walioteuliwa kuwania tuzo la wanasayansi wachanga Barani Afrika maarufu kama The Next Einstein Forum (NEF).
Tuzo hiyo huleta pamoja wasomi wa sayansi, watunga sheria na washika dau katika sekta mbalimbali Barani Afrika, kujadili na kuhimiza sayansi inayoweza kutatua matatizo yanayokumba Bara la Afrika.
Washindi wa tuzo hiyo wanapewa ufadhili na usaidizi kutoka kwa wakfu huo ili kutekeleza utafiti wao kikamilifu.
Katika shindano hili Mwakilili, atafanya utafiti ambao utasaidia wakulimu.