Mtanzania akamatwa na dawa za kulevya China

Unakutwa na kg 2.5 alafu unasema madawa hayo ni kwa ajili ya matumizi yako binafsi.......
Unawafanya Hao wenye mamlaka mazuzu

Ova
 
Hawa jamaa wanaopiga hizi mishe kwangu mimi ni maheroes... Fearless... Gogetters..

All the best comrade..
 
Jirani yangu ndio biashara yake hiyo..
Jokes!!

Msije mkaanza kunitafuta.
 
Back
Top Bottom