Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,351
- 39,578
ccm imekujaje hapa,Serikali imelala usingizi wa pono huku RAIA wake wakinyanyaswa ugenini.ccm ni janga
mbona bavicha mna matatizo hivi.
ccm imekujaje hapa,Serikali imelala usingizi wa pono huku RAIA wake wakinyanyaswa ugenini.ccm ni janga
Mkuu labda nikupe siri ya ukachero wangu kwanza nilivalia mavazi machafu sana kama nimetoka shambani mda huu. Nikabeba na chupa LA maji ya kunywa. Nikatulia tulii.,...japo nilivalia juu jezi ya Tanzania haikua kwao rahisi kuamini kama ni mgeni. Halafu kilugha chao nakijua kwelikweli. Alikuja mmoja na SMG yake akanichekiiiii mi nikafungua Kizibo cha maji nikapiga funda kama tatu hivi.,aaah Jamaaa akapiga bom dia!!!...nikamjibu kwa lafudhi yao akasema aah huyu Wa kwetu.,....huyu Wa kwetu. We we hapo nyuma shuka chini. Akachukuliwa jamaa. Kila sehemu kuna mbinu sake za penetration ndio raha ya kuanzia JKT.Samahani lakini, mleta mada umenusurika vipi au sio mtanzania wewe?
De Nada manoMuito obrigado
Hatukatai utaratibu unatakiwa kufuatwa...je na wale ambao wameathirika lakini walifuata utaratibu?Raia wake tunapaswa kufuata taratibu n.a. sheria
Hao wana hoja na lazima walete hoja hiyo mbele ya haki. Msumbiji si TanzaniaHatukatai utaratibu unatakiwa kufuatwa...je na wale ambao wameathirika lakini walifuata utaratibu?
Nina mbinu za namna nyingi mkuu. Walijua ni RAIA wao kama westgate Kenya wale jamaa walivyowatoka wana usalamaMkuu wame weza kumkata uyo jamaa (Mtanzania) ww wame kuachaje ama una Uraia wa nchi mbili wewe?
Ndugu yangu umesahau tamko la mkuu kuwa waliokwisha hukumiwa kunyongwa huko nje ya nchi kwa kosa la madawa ya kulevya wanyongwe tu na hakuna balozi au serikali kusaidia chochote?Hakuna serikali mbovu kama yetu.
No matter what Nchi inatakiwa kumlinda mwananchi wake kwa gharama yeyote.
Hata kama amekosea basi aadhibiwe kwa mujibu sheria na sio kuonewa.
Tanzania viongozi amkani acheni ujinga wa kutoa matamko kila siku tena ya kututisha.
Siyo haibu mkuu ni aibu..hapo tayari nawewe umetia aibu Mara mbili bora ungenyamaza tu.Safi sana....tunatia haibu hata hapa Afrika? Tumuunge Makonda katika kupiga vita biashara ya madawa ya kulevya jamani.
Ndugu yangu umesahau tamko la mkuu kuwa waliokwisha hukumiwa kunyongwa huko nje ya nchi kwa kosa la madawa ya kulevya wanyongwe tu na hakuna balozi au serikali kusaidia chochote?
Mkuu labda nikupe siri ya ukachero wangu kwanza nilivalia mavazi machafu sana kama nimetoka shambani mda huu. Nikabeba na chupa LA maji ya kunywa. Nikatulia tulii.,...japo nilivalia juu jezi ya Tanzania haikua kwao rahisi kuamini kama ni mgeni. Halafu kilugha chao nakijua kwelikweli. Alikuja mmoja na SMG yake akanichekiiiii mi nikafungua Kizibo cha maji nikapiga funda kama tatu hivi.,aaah Jamaaa akapiga bom dia!!!...nikamjibu kwa lafudhi yao akasema aah huyu Wa kwetu.,....huyu Wa kwetu. We we hapo nyuma shuka chini. Akachukuliwa jamaa. Kila sehemu kuna mbinu sake za penetration ndio raha ya kuanzia JKT.