Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 21,384
- 75,737
HahahhJamaa anaonekana ni mpenz wa ku dab
HahahhJamaa anaonekana ni mpenz wa ku dab
Jamaa anaonekana ni mpenz wa ku dab
Hata mi.mtikisiko wa kichwa naona ndo.habari.ya.itvMimi napenda sana anavyotikisa Kichwa, naweza hata nisisikilize habar nkasubr hicho kichwa tu . . . hiyo ni trade mark yake.
Acheni vijana wetu wafanye mambo, big up Sam
Usiende mbali, tupo hapa hapa mkuu!Mkuu unamaanisha kichwa kipi sam huwa anatingisha???
Hivi mahela ni ngosha??Usishangae Mkuu always wasukuma ni malimbukeni haswaa,yule mwenzie aliyekabidhiwa nchi sasa hivi kila wakati akiongea anashika kitambi
Tena anatupiaga mbili, anadondosha ya kwanza kisha anatupia ya pili.Napenda sana anavyotupia kichwa. Safi tu bro.
Acha ushoga wewe kijana mdogo...unampenda eeh? Jipeleke kwake akuchane marinda!Habari zenu!
Kwa kweli unaboa, naona watangazaji wa itv kila mmoja anakuja na 'symbol' yake!
Sam Mahela hii ya kwako inaboa kama ya Georgeeèee Maratoooooo wa aaaaaaaaaaiiiiitiiiiiiiiiiiviiiiiiiiiiiiiii, roryaaaaaaaaaaaam!
Sasa mahela yeye ana yake ya Sam Mahela wa Itv alafu anamalizia kama anadondosha bichwa, bro, unaboa sana! Njoo na symbol ya maana sio kupepesa bichwa!
Acha ushoga wewe kijana mdogo...unampenda eeh? Jipeleke kwake akuchane marinda!