Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,115
Kwa nini unadhani alishona moja? Kuna watu wana nguo aina moja kibao kama unavyo muona owner wa Facebook mark zuck....... Nguo yake ni hiyohiyo sio kama anairudia laa anabadili lakini muonekano ni uleuleMtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.
Naamini ujumbe wangu umefika.
Ww Utakuwa Msukuma Tu, Sisi Shida Yetu Habari PekeeMtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.
Naamini ujumbe wangu umefika.
Hivi huyu mrembo ameshaolewa? Namkubali sana tangu Star Tv
Mkuu isije kuwa Wewe ndio unataka kumuona huyo ivonaJamani msema kweli mpenzi wa Mungu....Binti yangu yuko darasa la saba anampenda saana huyu mtangazaji Kamuntu pamoja na Bebi Kabae wa Clouds na anataka kuwaona mubashara.Namuambia mama yake ampeleke pale Azam Tv na Clouds lakini anaogopa.....ipi njia rahisi ya yeye kuwaona....
Anajenga jamani acheni longolongoMtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.
Naamini ujumbe wangu umefika.
Hapana.....mimi nimemaliza mambo hayo sasa hivi naitafuta akhera yangu (mbingu)Mkuu isije kuwa Wewe ndio unataka kumuona huyo ivona
Hii habari bila picha hainogi..