Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

Mkianzisha Uzi wa wadangaji wa insta mtanishtua niwataje ninaowakubali wakiongozwa na..

Slim Marry
Yule binti wa Yanga
Na wengine wengi tu

Ila kwa tv namkubali. Farha Middle
 
Hii "kuvutia" imewaletea mkanganyiko ndugu wajumbe
Wengine wamemaanisha kuvutia kwa maana unamuona yupo sexy
Wengine wamemaanisha mvuto wa kiutangazaji tu

Kwa muktadha wa kwanza huwa na vutiwa na bidada mmoja wa kuitwa Shadee hampo mjengeno mawinguni
 
Back
Top Bottom