Kulupango
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 288
- 535
Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani,
Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain View, California. Ilianzishwa miaka ya 2010. Watumiaji wa mtandao huu wanaweza kushirikiana kwa kuhariri maswali na kutoa maoni kuhusu majibu ambayo yamewasilishwa na watumiaji wengine. Waislamu wa magharibi wametumia mtandao huu kuusambaza sana uislamu kwa kutoa majibu yanayo kinahisha nafsi za wengi.
Miongoni mwa maswali na majibu kutoka Quora.
SWALI
Je, ni sababu gani ya kawaida inayopeleka Wakristo wengi kubadili dini na kuwa waislamu kutoka Ukristo?
MAJIBU NI KWAMBA
-Uislamu unajibu maswali yote kwa uwazi, kila kitu katika uislamu kina sababu ya kimantiki.
Nadhani haya ni baadhi ya mambo makuu, yaliyoathiri kusilimu kwa wazungu wengi kuacha ukristo na kuingia uislamu.

- Uislamu unajibu maswali yote kuhusu yanayoonekana na yasiyoonekana.
- Qur'an haina ukinzani hata mmoja, tofauti na maandiko mengine.
- Kutamalaki kwa amani, utulivu na furaha ya ndani.
- Haki : utawajibika kwa dhambi zako mwenyewe, hakuna mtu anayeweza kuhesabiwa kwa dhambi za mwingine.
- Madhambi yote yamesamehewa, isipokuwa shirki. Anayesamehe dhambi ni MUNGU na wala sio nabii wala Mwanaadamu
- Hulinda wanawake na kuwaunga mkono na kuwanyanyua na kuwaheshimisha
- Katika uislamu Amri zote za Mwenyezi Mungu, ni kwa manufaa ya mwanadamu.
- Muumba, ni wa kipekee, anajitosheleza, ni mmoja na mkamilifu, Hana sifa za kiume wala za kike, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana mfano na kitu chochote kile.
- Katika uislamu Hakuna wapatanishi au watangulizi, kati yako na Muumba wako, wakati wowote unapomhitaji Muumba wako, unaweza kuwasiliana Naye, Tofauti na dini zingine hadi ukaungame.
Nadhani haya ni baadhi ya mambo makuu, yaliyoathiri kusilimu kwa wazungu wengi kuacha ukristo na kuingia uislamu.