Mtandao wa airtel ndio unaongoza kwa kutumiwa na matapeli wa mtandaoni

Uhuru24

JF-Expert Member
May 2, 2015
4,072
4,317
Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini??

Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli nisiwe mnafiki nakaa mpaka miezi 6 yaan huwezi kuona sms yeyote ya kitapeli, sijui tuma kule, mimi mwenye nyumba nasubiria kodi yako, mwanao kaanguka shule, na mambo mengine.

Nimejaribu kusajiri laini mpya nikasema ngoja niiweke tu ndani kwa mwezi mzima pasipo kuweka hata vocha, aisee ninayoshuhudia sijui nifanyeje, yaan ukirudi ukipitia simu unakuta sms mpaka 4 za kitapeli.

Airtel ombeni ushauri hata mitandao mingine labda mjifunze wenzenu wameweza kuwabana vipi hawa matapeli ambayo kila muda tuma humu???

Inafika nyakati mpaka kufungua sms unaona ujinga maana kwa siku hukosi sms mbili hadi 4 za matapeli, tatizo ni nini???

AIRTEL HEBU WACHUNGUZENI WALE WANAOPITA MTAAN KUSAJIRI LAIN LABDA INAWEZA KUPUNGUZA KELO.
 
Attachments

  • Screenshot_20240620-172114.png
    Screenshot_20240620-172114.png
    41.6 KB · Views: 12
Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini??

Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli nisiwe mnafiki nakaa mpaka miezi 6 yaan huwezi kuona sms yeyote ya kitapeli, sijui tuma kule, mimi mwenye nyumba nasubiria kodi yako, mwanao kaanguka shule, na mambo mengine.

Nimejaribu kusajiri laini mpya nikasema ngoja niiweke tu ndani kwa mwezi mzima pasipo kuweka hata vocha, aisee ninayoshuhudia sijui nifanyeje, yaan ukirudi ukipitia simu unakuta sms mpaka 4 za kitapeli.

Airtel ombeni ushauri hata mitandao mingine labda mjifunze wenzenu wameweza kuwabana vipi hawa matapeli ambayo kila muda tuma humu???

Inafika nyakati mpaka kufungua sms unaona ujinga maana kwa siku hukosi sms mbili hadi 4 za matapeli, tatizo ni nini???

AIRTEL HEBU WACHUNGUZENI WALE WANAOPITA MTAAN KUSAJIRI LAIN LABDA INAWEZA KUPUNGUZA KELO.
Mkuu mbona ttcl ndiyo chaka la matapeli...
 
Wengine wanasema ni voda kwani matapeli hujitambulisha kuwa ni watoa huduma wa vodacom toka makao makuu huku unaona kabisa sio namba ya vodacom ya kuwasiliana na wateja wao bali ni namba ya mteja. Cha ajabu namba inaweza kuwa ya mtandao mwingine lakini tapeli anasema ni mtoa huduma wa vodacom
 
Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini??

Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli nisiwe mnafiki nakaa mpaka miezi 6 yaan huwezi kuona sms yeyote ya kitapeli, sijui tuma kule, mimi mwenye nyumba nasubiria kodi yako, mwanao kaanguka shule, na mambo mengine.

Nimejaribu kusajiri laini mpya nikasema ngoja niiweke tu ndani kwa mwezi mzima pasipo kuweka hata vocha, aisee ninayoshuhudia sijui nifanyeje, yaan ukirudi ukipitia simu unakuta sms mpaka 4 za kitapeli.

Airtel ombeni ushauri hata mitandao mingine labda mjifunze wenzenu wameweza kuwabana vipi hawa matapeli ambayo kila muda tuma humu???

Inafika nyakati mpaka kufungua sms unaona ujinga maana kwa siku hukosi sms mbili hadi 4 za matapeli, tatizo ni nini???

AIRTEL HEBU WACHUNGUZENI WALE WANAOPITA MTAAN KUSAJIRI LAIN LABDA INAWEZA KUPUNGUZA KELO.
Yaani nimeripoti hili tatizo Voda hadi wamenizoea kuna wakati wananiuliza mbona leo hujaripoti!!!
 
Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini??

Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli nisiwe mnafiki nakaa mpaka miezi 6 yaan huwezi kuona sms yeyote ya kitapeli, sijui tuma kule, mimi mwenye nyumba nasubiria kodi yako, mwanao kaanguka shule, na mambo mengine.

Nimejaribu kusajiri laini mpya nikasema ngoja niiweke tu ndani kwa mwezi mzima pasipo kuweka hata vocha, aisee ninayoshuhudia sijui nifanyeje, yaan ukirudi ukipitia simu unakuta sms mpaka 4 za kitapeli.

Airtel ombeni ushauri hata mitandao mingine labda mjifunze wenzenu wameweza kuwabana vipi hawa matapeli ambayo kila muda tuma humu???

Inafika nyakati mpaka kufungua sms unaona ujinga maana kwa siku hukosi sms mbili hadi 4 za matapeli, tatizo ni nini???

AIRTEL HEBU WACHUNGUZENI WALE WANAOPITA MTAAN KUSAJIRI LAIN LABDA INAWEZA KUPUNGUZA KELO.
Dah! Kunywa maji mwanangu,😪🤣
 
Mkuu ni tatizo sana juzi ndo niliamini airtel wamevamia wife aliniambia kwenye duka lake la pesa za simu airtel money mteja alikuja na msg kutoka airtel kenya ikionyesha ametumiwa 500000.lakini hiyo pesa haipo kwenye account wife akapiga huduma kwa wateja kujua namna gani ya kutoa hiyo pesa kwajili ya mteja mana imekuwa tofauti na ile inayotumwaga kwa SMS ambayo huwa unaingiza code flani kutoa pesa.
Airtel wakamjibu awasiliane na huko walipotuma kujua namna gani ya kutoa hiyo pesa..
Wife akaona upuuzi na kupoteza muda akamwambia mteja akawasiliane nao mwenyewe..
Baadae tunakuja gundua ile msg ilikuwa kweli inaonyesha imetoka airtel lakini ni ya kitapeli sasa jambo tulilojiuliza matapeli wamewezaje kuingia mpaka wanaweza kutuma msg kutoka airtel moja kwa moja mpaka leo sijapata jibu airtel imevamiwa kiasi gani..?
 
Back
Top Bottom