Mtaalam wa laptop za Dell unisaidie hapa natamani niitupe i laptop

Ndio zipo kamili mkuu kwani nikiweka mziki upande wa saut unaonyesh kabisa kama unafanya kazi ila saut ndio haitoki
ingia My Computer >manage>device manager.. angalia pale hamna driver inayoonyesha njano...!

NOTE: maana ya > ni nenda
 
ukiiwasha afu ikitoa mwanga,ifunike fasta then ifunue itakuonyesha window unayotaka kutumia obvious huwa inakuwa ya kwanza i`klick then itakuwa poa,hilo tatizo litakuwa nia aina ya window,am sure umeweka window ten ndio maana inakuzingua,ipige tu chini weka seven mkuu,itakutesa sana kama hauna uzoefu na hizi devices...
mkuu uwe unasoma kwanza kabla ya kujibu... kakwambia haiwaki kabisa..!
 
ukiiwasha afu ikitoa mwanga,ifunike fasta then ifunue itakuonyesha window unayotaka kutumia obvious huwa inakuwa ya kwanza i`klick then itakuwa poa,hilo tatizo litakuwa nia aina ya window,am sure umeweka window ten ndio maana inakuzingua,ipige tu chini weka seven mkuu,itakutesa sana kama hauna uzoefu na hizi devices...
Na pia pc yangu ram ni 512mb so kwa upande mwngn nikiingalia movies inasumbua sana kwani inanatanata sana so hapo je tatizo linaweza kuwa nn mkuu
 
VGA ndio tatizo la computer yako,pia window unatakiwa uwekewe na mtaalamu ili akuwekee na driver pack solution kwa ajili ya kuilainisha computer iwe nyepesi,hizo DPS ni muhimu kwa ajili ya muonekano mzuri w picha na graphics katika pc yako,otherwise utaichukia..
 
dah sawa mkuu kwahy hapo shida ni VGA mkuu au
 
Back
Top Bottom