Mtaalam wa Kipemba: Kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Uganda Cranes kiwe hivi Jumapili na Kisibadilke hadi dakika 90...tunashinda 3 kwa 1

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,149
119,884
  1. Aishi Manula
  2. Hassan Kessy
  3. Gadiel Michael
  4. Erasto Nyoni
  5. Kelvin Yondan
  6. Jonas Gerald Mkude
  7. Simon Msuva
  8. Farid Musa
  9. Mbwana Samata
  10. John Boko
  11. Shiza Kichuya

Kisibadilishwe hadi dakika 90 kwani hata ‘ Kinyota ‘ na ‘ Kindumba ‘ ndiyo kitatupeleka kwa mara ya pili baada ya miaka 38 huko AFCON na Nahodha ajitahidi akichagua upande wa Kuanzia tuanzie Goli la Kusini ili tumalizie na la Kaskazini.

Kwa Kikosi hiki nilichokiweka hapa GENTAMYCINE mpaka dakika hii naandika huu ‘ Uzi ‘ Waganda wameshajitahidi Kuzipunguza ila kuna Goli 3 kwa 1 ( 3 – 1 ) ambapo hata hilo Goli lenyewe litakuwa ni ama la Sisi Kujifunga au ni la Penati.

Kuhusu ‘ Mzigo ‘ wa Timu ( nadhani hapa Watu wa Mpira ) na wale ( wana Utamaduni Wenzangu ) mtakuwa mmeshanielewa akabidhiwe kati ya Farid Musa au Hassan Kessy na asipewe Nahodha Mbwana Samata kwani wenye ‘ Nyota ‘ na huo ‘ Mzigo ‘ kwa Siku hiyo ( ili Kuipa Ushindi na Kuikinga pia ) ni hawa Wachezaji Wawili niliowataja hapa.

Namalizia tena kwa Kusisitiza hiki Kikosi nilichokiweka hapa ndicho Kipangwe Siku hiyo na kama kuna Mtu yoyote anaweza ‘ akaufowadi ‘ huu ‘ Uzi ‘ kwa Benchi la Ufundi na hadi kwa Rais wa TFF na walio karibu na Timu yetu ya Taifa afanye hivyo haraka na Wachezaji hawa niliowataja hapa kuanzia leo waanze Kujiandaa na Kujipanga huku wakijua kabisa Wao ndiyo wanatupeleka AFCON Misri mwezi June 2019.

Kila la kheri Taifa Stars.

Nawasilisha.
 
Kwa akili za AMUNIKE usije ukashangaa anapanga kikosi hiki....... uwa sielewi logic ya Gadiel michel kwenda kucheza 11 kam winga

  1. AISHI MANULA
  2. HASSAN KESSI
  3. ERASTO NYONI
  4. AGREY MORRIS
  5. KELVIN YONDANI
  6. MUDHATHIR YAHYA
  7. SIMON MSUVA
  8. FEISAL SALUM
  9. MBWANA SAMMATA
  10. SHABAN CHILUNDA
  11. GADIEL MICHAEL
 
Shauri yake na Shauri zao wasije kusema GENTAMYCINE sikuwaambia nini cha Kufanya na bahati nzuri sana huyu Mpemba wangu ' Mtaalam ' hajawahi kuniambia Jambo na lisiwe 99.9% sawa sawa kwani yupo vizuri na huwa habahatishi kwani ndiyo huyu huyu pia ambaye nilimwambia Mchezaji mmoja wa Simba SC wa Kigeni aende Kwake kumuona kwani alikuwa ameshamalizwa ' Kiutamaduni ' na Watu wa upande fulani kwa Chuki zao ila tokea ' Mpemba ' amfanyie mambo sasa amerudi na ule Mpira wake ndiyo umerudi na atacheza vyema pengine hata kuliko alivyokuwa upande wa pili.

Na hata huyo Mzee na ' Mtaalam ' wa hiyo Timu ya upande wa pili na Yeye sasa hivi anaumwa na ni ' Tia Maji Tia Maji ' kwani ' Mpemba ' nae kalipiza Kwake kile ambacho alimfanyia huyu Mchezaji ' Mgeni ' wa Simba SC ambaye tayari alikuwa ameshakata tamaa ila sasa ana furaha ndani ya Simba SC huku pia akinishukuru. Nasubiri tumalize Mechi na TP Mazembe nimwombe na Mchezaji mwingine mmoja kutoka Simna SC ambaye naona ' Benchi ' sasa linamzoea japo namjua ana uwezo hata kuliko anayepambana nae ili ' Mpemba ' amrudishe na aweze kuwa sawa na Mwenzake ambaye anatembea mno kwa ' Wataalam ' ndiyo maana hata zikiwa ni Mechi za Kirafiki tu bado anaonekana na anapangwa Yeye tu.
 
  1. Aishi Manula
  2. Hassan Kessy
  3. Gadiel Michael
  4. Erasto Nyoni
  5. Kelvin Yondan
  6. Jonas Gerald Mkude
  7. Simon Msuva
  8. Farid Musa
  9. Mbwana Samata
  10. John Boko
  11. Shiza Kichuya

Kisibadilishwe hadi dakika 90 kwani hata ‘ Kinyota ‘ na ‘ Kindumba ‘ ndiyo kitatupeleka kwa mara ya pili baada ya miaka 38 huko AFCON na Nahodha ajitahidi akichagua upande wa Kuanzia tuanzie Goli la Kusini ili tumalizie na la Kaskazini.

Kwa Kikosi hiki nilichokiweka hapa GENTAMYCINE mpaka dakika hii naandika huu ‘ Uzi ‘ Waganda wameshajitahidi Kuzipunguza ila kuna Goli 3 kwa 1 ( 3 – 1 ) ambapo hata hilo Goli lenyewe litakuwa ni ama la Sisi Kujifunga au ni la Penati.

Kuhusu ‘ Mzigo ‘ wa Timu ( nadhani hapa Watu wa Mpira ) na wale ( wana Utamaduni Wenzangu ) mtakuwa mmeshanielewa akabidhiwe kati ya Farid Musa au Hassan Kessy na asipewe Nahodha Mbwana Samata kwani wenye ‘ Nyota ‘ na huo ‘ Mzigo ‘ kwa Siku hiyo ( ili Kuipa Ushindi na Kuikinga pia ) ni hawa Wachezaji Wawili niliowataja hapa.

Namalizia tena kwa Kusisitiza hiki Kikosi nilichokiweka hapa ndicho Kipangwe Siku hiyo na kama kuna Mtu yoyote anaweza ‘ akaufowadi ‘ huu ‘ Uzi ‘ kwa Benchi la Ufundi na hadi kwa Rais wa TFF na walio karibu na Timu yetu ya Taifa afanye hivyo haraka na Wachezaji hawa niliowataja hapa kuanzia leo waanze Kujiandaa na Kujipanga huku wakijua kabisa Wao ndiyo wanatupeleka AFCON Misri mwezi June 2019.

Kila la kheri Taifa Stars.

Nawasilisha.
Punguza kupost pumber
 
Hivi kwa sasa Tanzania ina Beki Mbili aliyekamilika na aliyeiva achilia mbali mwenye ' exposure ' kubwa kama Hassan Ramadhan Kessy? Acheni Majungu na kuweni na Jicho la Mpira tafadhalini.
Vipi mkuu! Huyo mpemba ametabiri mechi ya Lesotho huko ugenini?
 
Vipi mkuu! Huyo mpemba ametabiri mechi ya Lesotho huko ugenini?

Mimi nazicheza tu Mechi za Tanzania pekee na hao ' Mapimbi ' wengine hazinihusu kivile. Na hata hivyo nadhani nilivyokutajia hicho Kikosi na kukuambieni kuwa ndicho kitatupeleka AFCON Misri Mwezi June 2019 tayari ni jibu tosha kuwa Tanzania itafuzu na hiyo nchi uliyoitaja hapa Kwao itakuwa ni ' Baba Jeni Bai Bai ' rasmi.
 
Umejitahidi kupanga attacking minded players ila kwa kocha Amunike sina shaka nategemea kumwona Himid Mao pamoja na Mudhatir Yahya wakianza!!
 
Write your reply...
inabidi tuwaulize mikia fc kale kadawa walikonyunyiza kwenye vyumba ktk mechi dhidi ya as vita walikapata wapi?

nahisi katatusaidia,eti bwana manara kale kadawa mlikapata wapi?
 
(1) Manula
Kessy aggrey Nyoni gadiel
Himid. Mkude. Kichuya
Msuva. Bocco. Samatta

Manula
Yondani. Aggrey. Nyoni

Kessy. Himid. Mkude gadiel

Msuva. Bocco. Samatta

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1552834754792.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipewa kuwa kocha unaweza? Nchi yaajabu hii wengine wanatangaza wakishinda watalewa mpaka Barbara zifungwe wengine kazi yao kusifia uchawi kama mleta mada. Eee Mungu wewe hudhihakiwi wape waganda ushinde ili jina lako lisidhihakiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom