Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,186
Nyumba zilizoko Fuggerei, Augsburg Ujerumani zilijengwa mwaka 1521 na Jacob Fugger ambapo tangu hapo hadi leo bei ya kuishi humo haijapanda. Unalipa dola 1 (Tsh. 2300) kukaa mwaka mzima.
Masharti ya kukaa kwenye nyumba hizo ni lazima uwe mkatoliki, umuombee Jacob Fugger mara tatu kwa siku, pia wakazi hutakiwa kuwa nyumbani saa nne usiku, zaidi ya hapo mageti hufungwa.
Fugger aliyekuwa tajiri wa kipindi hiko alijenga nyumba hizo ili kuwasaidia wasio na uwezo (Giving back to the community)