MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Naliona jiwe la utabiri Wa nabiii Daniel 2(2:23) linakuja kwa kasi sana.
NI BORA ANGEWAAMBIA WAANDISHI WA HABARI"NO COMMENT",yaani ametuaibisha Wakristo vibaya sana.yaani inahuzunisha sana kiongoz wa dini kama huyu kuongea maneno kama hayo sijui dunia inaelekea wapi
Kumbuka kutoka nje ya ndoa dhambi yake huwezi linganisha na huo UFIRAUNI weye....binadamu tunapenda sana kuhukumu,roho za ubinafsi zimetutawala sana miongoni mwetu!, anayefanya mapenzi ya jinsia moja ndie mwenye dhambi,ila wewe unaetoka nje ya ndoa,unaesema uongo,mshirikina, ndio unanyoosha mdomo kuhukumu wengine!
Eti watu wanashangaa maneno ya papa!, hakika ubinafsi umetumeza.
Kama unaamini kuwa binadamu anastahili kutoa hukumu kwa kosa la mwenzake, basi hakika wewe sio Mkristu (labda ni mkatukumeni, unahitaji msaada wa kuielewa dini yako)NI BORA ANGEWAAMBIA WAANDISHI WA HABARI"NO COMMENT",yaani ametuaibisha Wakristo vibaya sana.
Hebu tupangie orodha ya dhambi in the order of your preferenceKumbuka kutoka nje ya ndoa dhambi yake huwezi linganisha na huo UFIRAUNI weye.
Mkatukumeni ndio nini? hebu nifahamishe Mkuu.Kama unaamini kuwa binadamu anastahili kutoa hukumu kwa kosa la mwenzake, basi hakika wewe sio Mkristu (labda ni mkatukumeni, unahitaji msaada wa kuielewa dini yako)
KANISA HALINA MAMLAKA YA KUHUKUMU ILA LINAYO MAMLAKA YA KUSIKILIZA MTU AKITUBU MADHAMBI ALIYO FANYA teh teh teh haya bana. NAONA KAMA HISTORIA MPYA YA ULIMWENGU KARIBIA IMALIZIKE KUANDIKWA NA WAMESHA ANZA KU ITAMBULISHA TARATIBU. time will tell.
Wote nyie mngefeli mtihaniwazungu katika harakati za kutaka dunia kukubali ushoga,inasikitisha sana hasa kiongoz kama huyu akiongea maneno kama haya
Kwa hiyo wewe kwa uelewa wako,dhambi ya kutoka nje ya ndoa inafanana na huo uchafu,basi leo duniani hapa kungekuwa na kelele kubwa kulaani watu wanaotoka nje ya ndoa,kama wewe unaona kuingiliwa wanaume kwenye tundu zao za haja kubwa ni swala dogo,basi nenda katafute wataalamu wa saikolojia,tundu kazi yake kutoa haja kubwa tena uchafu unaonuka,leo unaona ni dhambi kama dhambi ingine yoyote.Halafu ungeandika lugha unayoilewa kuliko kujiaibisha eti tin the order of your preferences.Hebu tupangie orodha ya dhambi in the order of your preference
Kwa hiyo unamshukuru kwa lipi?Kama kweli amesema haya basi namshukuru .
Hata na hivyo ningeomba uweke chanzo cha hii habari yako.
Kwani ushoga upo upande mmoja tu wa katoliki?Kama kweli amezungumza maneno hayo, ninawahuzunikia Wakatoliki wa Dunia nzima kwa ujumla wao.
Kwa kutuambia watu wenye dhambi tuache ku judge wengine wenye dhambi.Kwa hiyo unamshukuru kwa lipi?
Kwani hili ni jukwaa gani? Mhemko wako wewe utakua ni wa mwendo kasi...punguzeni kuchangia vitu kwa mihemko,kama mko jukwaa la MMU!
Ungekuwa mkatoliki, ningekushangaa, ila kwa kuwa sio mkatoliki nitaeleza kwa ujumla tu. Hiyo ni term inayotumika katika Ukatoliki kumtambulisha mtu mwenye umri mkubwa (kama wewe unayeweza kupost hapa JF) ambaye kwa umri wake hajapata sakramenti ya ubatizo wala mafundisho ya sakramenti nyingine zinazofuata kama ekaristi takatifu na kipaimara, kwa hiyo hata uelewa (sio utekelezaji) wake kuhusu imani yake unakuwa ni mdogo. Mtu huyo ili aingie katika Ukristu (kwa mujibu wa imani ya kanisa Katoliki) analazimika apewe na kuelewa mafundisho ya imani hii katika umri wake huo huo kisha abatizwe na kupata sakramenti zilizosaliaMkatukumeni ndio nini? hebu nifahamishe Mkuu.
Kwa hiyo tuache kukosoa au kukemea watu wanaofanya jambo lililo teketeza SODOMA NA GOMORA?Kwa kutuambia watu wenye dhambi tuache ku judge wengine wenye dhambi.
Hakuna mtakatifu dunia hii.Ila kuna ambao wanajiona au wanjifanya watakatifu.
Mimi sijaandika hivyo, hayo umeandika mwenyewe...Halafu ungeandika lugha unayoilewa kuliko kujiaibisha eti tin the order of your preferences.