Mugabe Tz Senior Member Apr 6, 2016 196 215 Apr 12, 2017 #21 you might have a point, wacha tusubr maana june mbali sana, mpk bunge la budget liishe
LESIRIAMU JF-Expert Member Feb 12, 2008 9,006 14,536 Apr 12, 2017 #22 Adharusi said: Sio kwa kipindi hiki wewe jidanganyeni tu Click to expand... Mara zote na wakati wowote wabunge wa Ccm ni wabunge maslahi. Hawapo kwa ajili ya wananchi wako kwa maslahi yao binafsi
Adharusi said: Sio kwa kipindi hiki wewe jidanganyeni tu Click to expand... Mara zote na wakati wowote wabunge wa Ccm ni wabunge maslahi. Hawapo kwa ajili ya wananchi wako kwa maslahi yao binafsi
Waterloo JF-Expert Member Nov 30, 2010 25,356 38,922 Apr 12, 2017 #23 Ila wabunge wa CCM ukiona wanapiga kelele ujue posho zimepungua