Hoja yangu ni kwamba aache kuangalia TV muda wa kazi badala yake autumie kwenye kujiongezea kipato chake na familia yake!
Na watoto wa watangazaji watapata wapi ada? Kuna mtu ashakuja kwako kukuomba ada ya mwanae au..
Hoja yangu ni kwamba aache kuangalia TV muda wa kazi badala yake autumie kwenye kujiongezea kipato chake na familia yake!
teh teh hapa kwenzi tu1.Akiwa jukwani "wewe mtumishi Kabwe nimekusimamisha kazi"
2.RC nawateua ili heshima yenu irudi wekeni watu wanao wapinga Mahabusu
3.Hamna Bunge kuonyeshwa Live hata kama kuna wadau wa habari wapo tayari kulipia privately
4.Sherehe za Uhuru zinatumia hela tu LKN Mwenge wa uhuru utakimbizwa TZ nzima
5.Bila hata kushirikisha wadau "Toka leo daraja la Kigamboni litaitwa Nyerere's Brigde
Kuna harufu ya ukosefu wa utawala bora TZ ya sasa,naanza kumkumbuka Jk
rais wa wanyonge ni lowassa huyu ni wamajipu uchunguJk utakumbukwa
tunakoelekea siko vyombo vya habari viache kurusha habari za serikali tuone,
rais wa wanyonge huku tunanyimwa haki ya kujua mwakilishi wangu anafanya nini
hiv ulimrudishia ile iliyobaki au ndo bado unasain kila mwisho wa mwezi...rais wa wanyonge ni lowassa huyu ni wamajipu uchungu
nn?hiv ulimrudishia ile iliyobaki au ndo bado unasain kila mwisho wa mwezi...
Wanalilia bunge live sababu limekuwa bunge Comedy showNi kwa nini viongozi wanapenda sana kuwasemea walaji wa habari? na hasa ni wafanyakazi wapi wanalengwa? kwa maana si wote wako kazini muda huo kuna wengine wana shifts. wengine ni walinzi wannapumzika. ziko sehemu nyingi za kazi mfano madukani, mahotelini wafanya kazi kwenye migahawa na mabaa, hata katika mahospitali wagonywa akisubiri huduma n.k n.k. wako wengi tu wanahitaji matangazo muda huo. ukiwahesabu ni mamilioni. watanzania si lazima wapangiwe ratiba kwa jinsi hii.