GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,218
Yes. Wakati picha hii inapigwa kanisa hili halikuwa linatumika, ni wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe huko africa ya kati, kanisa lilikuwa linatumika kama nyumba ya wakimbizi.
angalia picha ya kanisa kwa ndani.