Sijui kama umeangalia hiyo video clip hamna mtu aliyepinga kuwa Sugu hana uwezo wa kujenga hotel.Hivi unazan posho ya lak 3 kwa siku ni sawa na tofal 300. Kila siku
Atashindwa kujenga kweli mbona visa aviishi.
Shame on u.
Barabara zetu JPM amewapa wazalendo eeh?... badala ya kuwapa kazi watanzania wenzake kuonyesha uzalendo kampa kazi Mchina daah
Ya kwako iko wapi...? Acheni wivu wa majungu,kuweni na wivu waki maendeleo.Bavicha bana unafananisha ujenzi wa daraja la Kigamboni na ujenzi wa hotel ya Sugu daah!
Tatizo la Mbeya imejaa wasela mavi.Sugu ndiye mbunge aliyepigiwa kura nyingi kuliko wabunge wote nchini 2015. Hata wana CCM wa Mbeya waliomchagua JPM walimpigia kura Sugu. Kuna kazi ngumu sana kumng'oa Mbeya Mjini
nao ndio walio mpenda sugu!Tatizo la Mbeya imejaa wasela mavi.
Dada tulia leo mwanao acha roho mbaya kwa mzazi mwenzio.
Magufuli hakuchaguliwa na wananchi....zaidi aliiba kura!Sugu ndiye mbunge aliyepigiwa kura nyingi kuliko wabunge wote nchini 2015. Hata wana CCM wa Mbeya waliomchagua JPM walimpigia kura Sugu. Kuna kazi ngumu sana kumng'oa Mbeya Mjini
Umetisha mkuuHata mimi ningewapa wachina, They are very cheap refer to gharama za ujenzi wa daraja la kigamboni vs daraja la kule china.
Angalia kuanzia kama dakika ya 06:10, uone anachokiongea Mbunge (chadema) wa Mbeya mjini Sugu, halafu oanisha na picha hizo hapo chini ambazo ni Hoteli yake anayoijenga huko huko kwao Mbeya, hawo ndiyo Wabunge wa Upinzani wanaojiita wakombozi wa MtanZania masikini!
Sikiliza kwa makini sana kuanzia 06:10 halafu jiulize tena hawa Wanasiasa wako kwa maslahi ya nani nchi hii???
Jiulize tena wanavyompinga Raisi Magufuli ni kwamba kweli wako upande wa WatanZania masikini au wako upande upi? Yaani ni nani kati ya Raisi Magufuli na chadema yuko upande Mungu na yupi upande wa shetani?? Video inaongea kila kitu!
Ndugu Mtanzania kuwa Hakimu mwenyewe, uamuzi ni wako!
Kuanzia ~ 06:10
Hoteli ya Mbunge Sugu(chadema) anayojenga huko Mbeya!
Huu utoto wako upeleke huko Instagram.Sugu kaiba wimbo wa Mr blue alafu anajifanya mtetezi wa haki za wasanii.