HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
Huwa hamtaki kuambiwa ukweli na mnang'ang'ania TU kale ka wimbo cha JEHANAMU au KUZIMU oooooh ni ile....ile......mtaisoma namba......
Nilishwahi kusema hakuna JIPYA tutategemea kutoka awamu hii au series hii ya CCM, maana wao wenyewe walisha KIRI kuwa ni ile ile.......now what NEWS do we expect???????????
Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mtu/kikundi cha watu ambao hawana msimamo. Leo wanasema hili, kesho wanafanya completely the opposite. Huo ni utapeli.