Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

Kweli mumezidi kupenda vibaya had mnakua ka kipofu mi msukuma langu hata simjali lakini alivokolea sasa chah
jamani jamani...usitufanyie hivyo!ujue tumezaliwa na mwanamke mwenzio akisikia hivyo tumbo la uzazi linamkata...
 
Hamsimbui Mwanamke kwa KUWA Wao wanaangalia Tofauti, kwa ye kuona vitu ambavyo awajatalijia...... Kuna tofauti kati ya mtoto wa Raisi katika kupata wanawake na Diamond kupata wanawake..

Najua ujanielewa..
Mtoto wa Raisi anaweza akapata wanawake wa kawaida na wa maisha ya kati na ya chini kutokana wanawake hao wameyatarajia mafanikio ya huyo mtoto wa Raisi..

Diamond anaweza kupata wanawake wa aina zote kutokana ana kitu ambacho watu awakutarajia na kila mwanamke anataka kuwa naye kutokana ana vitu ambavyo watu awakutarajia..

Angalia sana watu wanaotoka chini kupanda juu iwe mwanamke au mwanaume anakuwa na mvuto kwa watu wote..

Kwa watu wa imani pamoja nami najua mnaweza nielewa ili
 
Wanawake wote hawa halafu unakubali kupelekeshwa na mmoja ambaye alikupendea mpunga bruh? Achana naye.
 
Back
Top Bottom