Go mi num
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,321
- 1,607
Jamani kila siku mnaambiwa msisomeshe mtu ambae sio mkeo wengi wanakua kwako sababu ya kusoma jamani ... Hamsikiii dunia imebadilika mpaka mfanyweje ndo muelewe?
Tena usikute alikwambia kabisa hakupendi ila Wewe ukaamua kumsomesha kwamba utauteka moyo.... Msichana sio dadako
Tena usikute alikwambia kabisa hakupendi ila Wewe ukaamua kumsomesha kwamba utauteka moyo.... Msichana sio dadako