π€π€π€Nilienda katika bar huko arusha nikampata mwanadada mrembo ako na makalio makubwa kama sanchoka.Nilikaa naye nikamnunulia pombe .Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu. Kutoka msalani nikamuuliza water akaniambia msichana ameweka tembe kwa pombe yangu.Kuskia hivyo nikaagiza pombe ingine baada ya kumaliza nikaenda na dada yule kwa gari langu.Baada ya mwendo wa kilomita 30 nikazima gari.Nikamwambia yule dada asukume gari.Kusukuma gari nikawasha na kutoroka.Kwa mkoba wa dada nilipata tembe 30 za kulala .Nilifanya makosa kweli
Zinaitwaje izo tembeNilienda katika bar huko arusha nikampata mwanadada mrembo ako na makalio makubwa kama sanchoka.Nilikaa naye nikamnunulia pombe .Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu. Kutoka msalani nikamuuliza water akaniambia msichana ameweka tembe kwa pombe yangu.Kuskia hivyo nikaagiza pombe ingine baada ya kumaliza nikaenda na dada yule kwa gari langu.Baada ya mwendo wa kilomita 30 nikazima gari.Nikamwambia yule dada asukume gari.Kusukuma gari nikawasha na kutoroka.Kwa mkoba wa dada nilipata tembe 30 za kulala .Nilifanya makosa kweli
Shukuru Mungu,..masela wangekula hizo vipara zako ujueπππNilienda katika bar huko arusha nikampata mwanadada mrembo ako na makalio makubwa kama sanchoka.Nilikaa naye nikamnunulia pombe .Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu. Kutoka msalani nikamuuliza water akaniambia msichana ameweka tembe kwa pombe yangu.Kuskia hivyo nikaagiza pombe ingine baada ya kumaliza nikaenda na dada yule kwa gari langu.Baada ya mwendo wa kilomita 30 nikazima gari.Nikamwambia yule dada asukume gari.Kusukuma gari nikawasha na kutoroka.Kwa mkoba wa dada nilipata tembe 30 za kulala .Nilifanya makosa kweli
Sasa ikawaje ? Story umeishia katikati ilikuaje ulirudi ukamfuata ili umpelekee Moto au ulifanyaje mkuu ? Emu ongezea nyama nyama kidogo hii skeletonNilienda katika bar huko arusha nikampata mwanadada mrembo ako na makalio makubwa kama sanchoka.Nilikaa naye nikamnunulia pombe .Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu. Kutoka msalani nikamuuliza water akaniambia msichana ameweka tembe kwa pombe yangu.Kuskia hivyo nikaagiza pombe ingine baada ya kumaliza nikaenda na dada yule kwa gari langu.Baada ya mwendo wa kilomita 30 nikazima gari.Nikamwambia yule dada asukume gari.Kusukuma gari nikawasha na kutoroka.Kwa mkoba wa dada nilipata tembe 30 za kulala .Nilifanya makosa kweli
stillnoxZinaitwaje izo tembe
Duh noma, bar gani ulikuwa maana Mimi nipo kipong hapa tupe location ilikuwa wapi tukae kwa codestillnox
Women mercilessly punish simps.They have to pay exorbitant prices for products others got for free.Nilienda katika bar huko arusha nikampata mwanadada mrembo yupo na makalio makubwa kama sanchoka.
Nilikaa naye nikamnunulia pombe. Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu.
Kutoka msalani nikamuuliza water akaniambia msichana ameweka tembe kwa pombe yangu. Kuskia hivyo nikaagiza pombe nyingine baada ya kumaliza nikaenda na dada yule kwa gari langu.
Baada ya mwendo wa kilomita 30 nikazima gari. Nikamwambia yule dada asukume gari. Kusukuma gari nikawasha na kutoroka. Kwa mkoba wa dada nilipata tembe 30 za kulala. Nilifanya makosa kweli
Na wewe unaongea mzeeUzinzi utawaua wakuu
ππ..the hunter becomes the hunted, i.e. the predator becomes the prey!Nilienda katika bar huko Arusha nikampata mwanadada mrembo yupo na makalio makubwa kama Sanchoka.
Nilikaa naye nikamnunulia pombe. Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu.
Kutoka msalani nikamuuliza waiter akaniambia msichana ameweka tembe kwa pombe yangu. Kuskia hivyo nikaagiza pombe nyingine baada ya kumaliza nikaenda na dada yule kwa gari langu.
Baada ya mwendo wa kilomita 30 nikazima gari. Nikamwambia yule dada asukume gari. Kusukuma gari nikawasha na kutoroka. Kwa mkoba wa dada nilipata tembe 30 za kulala. Nilifanya makosa kweli