Msiba wa mama yangu mzazi

alihamdullillah nashukuru kwa allah ( s.w ) tumempuzisha mama, pia napenda kuchukua nafasi kuwashukuru kwa faraja na dua toka kwenu kwa niaba yangu na familia yangu tunawaombea kwa allah ( s.w ) awalipe kwa wema wenu na ahsanteni sana.
 
Wanajamvi nasikitika kutangaza msiba wa MAMA yangu mzazi uliotokea leo mjini MOROGORO, in shaa allah maziko kesho alasiri KOLA HILL CEMETERY.

Pole sana mpendwa mwana JF mwenzangu. Wawekee watu namba ya simu wanaweza kurusha michango pia.

Queen Esther
 
Pole sana mkuu pamoja na wanafamilia wenzako katika Kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom