QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
Hiyo ilikuwa miaka ya 90 na 2000, njoo mtaani uone vijana wajeda degree holder wanafanya anasa na mikoko maisha mazuri halafu wako soooft, mafunzo ndio wanapata baada ya hapo ni kuku ,bia, nkKuna kazi nyingi za kupatia ridhiki mkuu tofauti na jeshi, jeshini utatumia mda wako na nguvu pia maarifa yote ili kufanikisha adhima za kimafunzo na utekelezaji wa majukumu ya kijeshi ambayo hata ukiangalia hayawezi kuthamanishwa kwa malipo ya fedha, jeshini ni kujitoa sadaka ili familia, jamii na taifa liwe katika misingi ya amani na ustawi.