Mshahara wa instructor wa puplic sector ambao ni ptss 3 unaweza ku range shilling ngap naomba mnifahamishe niweze fanya maamuz

Mzee ukifika huko utajua! Usiangaike na mishahara serikalini ukiingia ukaangalia mishahara unaweza ukataka kuacha kazi, ila ukiingia huko ndo utajua mengi mkuu! Let say mshahara wako ni 900,000/= ukiingia huko utakuta
1: house allowance= 150k-250k
2: usafiri 100k,
3: chai 80k
4: extra : 200k
Ukijumlisha na mshahara mzee una hela ya kutosha!
Nchi hii sehemu ngumu ni halmashauri na ualimu huko sidhani kama wana extra duty!
 
This is highly misleading
 
Back
Top Bottom