Msemaji wa Serikali: Rais Magufuli hakukataa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma bali posho za Madiwani

Kwa hio rais hajui kua madiwani hawapokei mshahara?!! Mshahara ni kwa watumishi wa umma!!!?. Raisi ashasema acha kurekebisha maneno ya mkulu bwana.
 
Ni ufafanuzi mzuri. Lakini iliu uwe na uzito zaidi wafanyakazi waone kitu cha tofauti mwisho wa mwezi huu. Hapo utaeleweka vizuri sana
 
Nasubiria atakaekuja kutufafanulia WANAFUNZI WATAKAOPATA MIMBA RUKSA KUENDELEA NA SHULE!
 
Alf ilo neno uzarendo si lipendi kweli iv madaraja hakuna 2012 mpaka ss alaf eti uzarendo iv uzarendo bl kula Mungu aliyetuumba anawaona.kama ss wote ni wake.
 
Tanzania tupo juu kweli kwa tafsiri mgeuzo,hii huwa inasomwa kusikojulikana.Lakini msingi wake umejikita ktk tumbo.
 
Mbona wengine tulilielewa hili; tatizo ni kuwa watu wengine hawataki kusikiliza vizuri in context. Niliuliza juzi hili mbona halikuwa gumu kueleweka?
ulielewa kama madiwan ndo wanalipwa mishahara na sio posho???

ulielewa madiwan ndo watapandishiwa mishahara uzlishaji wao ukiongezeka??

au ulielewa watakuja kukanusha??
 
Gazeti gani linafungiwa safari hii? Maana tunapoelekea tutabaki na Uhuru, Mzalendo na Daily news tu!
Iwapo magazeti mengine yataendelea kuvunja sheria ni bora yabaki hayohayo tu.Mbona zamani tulikuwa na hayo halafu likaongezeka la mfanyakazi.Tuliishi vizuri sana tofauti na sasa: matusi kwa viongozi (wa chama madarakani na visivyo madarakani, wa kidini) uongo kwenye habari,uzushi (ukosefu wa maadili, checks and balance) n.k
 
Mtaishi vizuri nyie mnaokula kwa kulamba miguu ya hao mnaoona wanatukanwa!The world is not static..
 
Back
Top Bottom