Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na SGR ya Dar-Dom

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
1,033
683
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari

Mobhare Matinyi
Msemaji Mkuu wa Serikali.

========

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini, maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na majaribio ya kwanza ya treni ya kisasa (SGR), kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma itakayobeba viongozi wa dini siku ya jumapili Aprili 21, 2024.

View: https://www.youtube.com/live/kSVvi88SDRM?si=OoFoglhEi2j10Okn
 
Nukuu mbalimbali za Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari.
 
Attachments

  • IMG-20240421-WA0035.jpg
    IMG-20240421-WA0035.jpg
    420.2 KB · Views: 1
  • IMG-20240421-WA0033.jpg
    IMG-20240421-WA0033.jpg
    399.8 KB · Views: 1
  • IMG-20240421-WA0034.jpg
    IMG-20240421-WA0034.jpg
    334.8 KB · Views: 2
  • IMG-20240421-WA0031.jpg
    IMG-20240421-WA0031.jpg
    439.1 KB · Views: 3
  • IMG-20240421-WA0032.jpg
    IMG-20240421-WA0032.jpg
    386.3 KB · Views: 2
  • IMG-20240421-WA0028.jpg
    IMG-20240421-WA0028.jpg
    389 KB · Views: 2
  • IMG-20240421-WA0030.jpg
    IMG-20240421-WA0030.jpg
    438 KB · Views: 1
  • IMG-20240421-WA0029.jpg
    IMG-20240421-WA0029.jpg
    374.7 KB · Views: 1
  • IMG-20240421-WA0027.jpg
    IMG-20240421-WA0027.jpg
    382.3 KB · Views: 2
  • IMG-20240421-WA0025.jpg
    IMG-20240421-WA0025.jpg
    396.9 KB · Views: 2
  • IMG-20240421-WA0026.jpg
    IMG-20240421-WA0026.jpg
    376.9 KB · Views: 1
  • IMG-20240421-WA0021.jpg
    IMG-20240421-WA0021.jpg
    388.3 KB · Views: 1
  • IMG-20240421-WA0024.jpg
    IMG-20240421-WA0024.jpg
    378.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240421-WA0023.jpg
    IMG-20240421-WA0023.jpg
    383.8 KB · Views: 1
  • IMG-20240421-WA0022.jpg
    IMG-20240421-WA0022.jpg
    367 KB · Views: 3
  • IMG-20240421-WA0020.jpg
    IMG-20240421-WA0020.jpg
    393.3 KB · Views: 1
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini, maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na majaribio ya kwanza ya treni ya kisasa (SGR), kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma itakayobeba viongozi wa dini siku ya jumapili Aprili 21, 2024.

FB_IMG_1713659840947.jpg
 
Jana nimekaa zangu TNT G/mboto pale mida ya jioni nikaona hiyo treni inapita. Ule mwendo ni kama yale magari ya mgongo Chura yA ZAMANI.

Mwenye uelewa atueleweshe Kwanini hatuoni spidi waliyokuwa wanasema
 
Ukiona Serikali inatumia nguvu kueleza, na kufafanua jambo, jua uongo mwingi na upigaji wa kutosha. Kuna sababu gani kutufafanulia na maelezo meengi, kwanini wasimwachie engineer afanye kazi sawa sawa sisi wananchi tuna macho tutaona na kutoa mrejesho kwa jinsi tulivyoona matokeo ya mradi mzima.

Walipelekwa waandishi wa habari sasa wachungaji, sisi wananchi tunasubiri zamu yetu, tutaamua wenyewe kama tutakavyoona hatutaki kudanganywa.
 
..sherehe za muungano kwa mwaka huu ilipaswa kusitisha.

..badala ya kutumia fedha kusherehekea muungano, fedha hizo zingeelekezwa kusaidia wahanga wa mafuriko.
 
Jana nimekaa zangu TNT G/mboto pale mida ya jioni nikaona hiyo treni inapita. Ule mwendo ni kama yale magari ya mgongo Chura yA ZAMANI.

Mwenye uelewa atueleweshe Kwanini hatuoni spidi waliyokuwa wanasema
Hata gali.likiwa jipya huwezi kuanza kuiendesha kwa speed ya juu sana. Hapo ni kutest train yenyewe, hiyo rail, na suala la umeme. Tuwape muda wanaohusika kuwasiliaha ahadi yao kwa umma!
 
Hata gali.likiwa jipya huwezi kuanza kuiendesha kwa speed ya juu sana. Hapo ni kutest train yenyewe, hiyo rail, na suala la umeme. Tuwape muda wanaohusika kuwasiliaha ahadi yao kwa umma!
Ngoja tuone lakini hata kama ni majaribio sio kwa ule mwendo tena treni ya abiria inakimbia kushinda hii
 
Back
Top Bottom