mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Hivi tangia arudi kwenye muziki ameshafikisha shows ata kumi? Au ndio mzee wa coming soonSasa show afanye Kiba afu povu ntokwe mimi?
Hivi tangia arudi kwenye muziki ameshafikisha shows ata kumi? Au ndio mzee wa coming soonSasa show afanye Kiba afu povu ntokwe mimi?
Nimekuelewa sasa nataka ukubaliane na mimi kuwa ana kiasi hiki cha pesa. Nimejaribu kukuwekea link itakayokuwezesha kuona viwango tofauti vya pesa ili angalau humudu kuanzisha hiyo unayoita wewe " Alikiba TV" nakuomba wewe mwenye elimu usome hapa. How much would it cost to start a TV channel? - QuoraHahahaha lowasa alisema Elimu!! Elimu! Elimu!
Hivi umeilewa vizur hiyo habari? Ni hivi unatakiwa usubscribe youtube channel ya Kiba, au ufollow page yake fb au uwe karibu na tv zote kubwa dunian kama soundicity ili badae uweze kupata nafas ya kushuhudia tukio hilo la kihistoria la uzinduzi wa Alikibatv.
Mbona aliongea kwenye EFM kuwa analipwa 15mil per show akipiga playback na 20mil akipiga live... Hizo habari zako umezitoa kwenye gazeti la amani au wembe??
Anyway, mi niliongea kwa mazuri tu. Kama atakuwa anaandaa mwenyewe shows itakuwa poa cha muhimu awatumie mashabiki wake wanaotumia muda mwingi kutukana mitandaoni bila kujichangisha pesa za shows..
Basi Kiba atakuwa na shida mbona Jide anafanya shows na meneja wao ni mmoja?Hivi tangia arudi kwenye muziki ameshafikisha shows ata kumi? Au ndio mzee wa coming soon
Hizo ulizozutaja ni online tv, Huwez kuipata dstv au azam, ila hii ya kiba sio Online tv, ni tv kama Cloudz tv, East Africa tv, itv, mtv etc
Hivi tangia arudi kwenye muziki ameshafikisha shows ata kumi? Au ndio mzee wa coming soon
![]()
![]()
![]()
![]()
watu povuuuuuu. Huu mchezo hautaki hasiraaaaaa.. Big up king kiba
Hivi tangia arudi kwenye muziki ameshafikisha shows ata kumi? Au ndio mzee wa coming soon
Nimekuelewa sasa nataka ukubaliane na mimi kuwa ana kiasi hiki cha pesa. Nimejaribu kukuwekea link itakayokuwezesha kuona viwango tofauti vya pesa ili angalau humudu kuanzisha hiyo unayoita wewe " Alikiba TV" nakuomba wewe mwenye elimu usome hapa. How much would it cost to start a TV channel? - Quora
Hahaha mkuu huo utani wa mabomu kwa wakereketwa wake, ngoja waje na takwimu hapa..
Nimekuelewa sasa nataka ukubaliane na mimi kuwa ana kiasi hiki cha pesa. Nimejaribu kukuwekea link itakayokuwezesha kuona viwango tofauti vya pesa ili angalau humudu kuanzisha hiyo unayoita wewe " Alikiba TV" nakuomba wewe mwenye elimu usome hapa. How much would it cost to start a TV channel? - Quora
Mil 15 per show! Nafikiri ndio maana ana ukame wa shows.. Hakuna anaeweza kufanya biashara kichaa ya kumpa Kiba mil 15 uku akitegemea hasara mara mia utafute wasanii wa million 3 wa 5 biashara itaonekana. Poor him.
Kama ni hivo nimekuelewa,hongera kwa kuweza kumpamba mtu wako,na kuna watu wamekuamini. Mimi na shobo yote niliyonayo kwa DIAMOND lakini sifikii ufagio wako kwa kiba.Sasa mkuu hiyo nayo kwa mwanamziki kama Kiba ni hela basi au hela ya mboga?
Koroga festival show alopiga kiba ilikuwa ni tukio la 3 kihistoria kenya mwaka jana kwa kujaza watu, tukio la kwanza ilikuwa ni ujio wa Obama na tukio la 2 kwa kujaza watu ni ujio wa papa. inasemekana kiba aliingiza pesa nyingi sana, show imemfunguliwa milango mingi, ikiwemo deal la sony, pia jiandae kisaikolojia mwaka huu tuzo za mtv king ndan ya nyumba.
Nisimalize uhondo wote, habar zote utakuwa unazipata live kupitia Alikibatv, uwiiiiii
Wasalimie Nkana Red, Shangani, Chuno, na Ligula.Hii tivii itakuwa inaonekana kwenye visimbusi gani? au itakuwa kwenye list ya local channels?
Hongera Alikiba!
Pole sana nilikuwa kwenye entertainment industry kwa muda mrefu so still bado najua 123 za biashara ya muziki.. Najua bei za wasanii ndio maana nimeshangaa hiyo bei ya Kiba kwa biashara ipi ya kufanya na Kiba... Ukijiroga uingie mfukoni ufanye biashara kichaa kama hiyo imekula kwako.. Msanii pekee ambaye biashara yake ni uhakika ni Diamond labda na Weusi ukifanya promotion nzuri.Kwa taarifa yako hiyo ni hela ndogo sana, tena milion 15 ni bei ya wasanii kama yamoto band, harmonize. Tena wewe kama ni promoter ukimpigia simu kiba umwambie una M15 basi anaweza akakutukana kabisa.