Msanii Robert Powell awaambia mashabiki yeye si Yesu


Hizo sanamu zake muwekazo mbele yenu pindi muabudupo ni ili iweje...?

Kama ali-act kwa ajili ya kufundisha si ingebaki tu kwenye mchezo alioigiza sasa iweje mmuweke na kuchonga sanamu zake na kuliweka mbele kunako ibada zenu...?. Nini linasababisha nyinyi kufanya hivyo...?.
Wakijibu hilo swali mm naenda kunya white house pale
 
Sasa kama picha halisi zipo si watoe print out za kutosha zigawiwe dunia nzima kama wanavyofanya misalaba na rozari kuliko kuweka hiyo fake??
Unaandikiaje mate wino unalipo?
 
Unajua kama mtu anafanya jambo kwa kutokujua linaweza likaeleweka kuwa alikuwa hajui.

Lakini mtu baada ya kujua na kufaham kuwa jambo fulani sio sahihi kulifanya mtu anatakiwa kuacha na kubadilika. Ila kwa sababu ni mijitu inayopelekwa kama mikondoo basi nayo inaenda tu kama mikondoo kweli.

Baada ya kujua hilo utakuta jitu lilivyo jinga linashindwa hata kuhoji viongozi wa dini yake ili kupata mawazo yao, lakini utakuta jitu lipo tu na linaendelea kuburuzwa tu kama kondoo.

Ni hatari sana kwa kweli.

Cc Farudume, Eiyer, Ishmael
Hivi huo ujumbe ambao huyu mchekeshaji ameutoa ameupeleka ka akina nani?

Aliwaona watu wa bara lipi wanaweka picha yake kwenye maeneo ya ibada?
 
Hivi huo ujumbe ambao huyu mchekeshaji ameutoa ameupeleka ka akina nani?

Ameupeleka kwa watu wanaotumia picha yake na kumfanya yeye ni yesu ikiwa ni pamoja na kuiweka mbele wafanyapo ibada zao.

Aliwaona watu wa bara lipi wanaweka picha yake kwenye maeneo ya ibada?

Ukiiangalia hiyo screenshot ya mleta unaweza kusema aliona watu wa bara gani wanafanya hivyo, hajasema.

Ila mpaka amesema hivyo kuna kipo hivyo na ndio mana akasema hivyo ndugu.

Asingeweza kusema kitu ambacho hakipo coz lisemwalo lazma lipo sio.
 
Hivi huo ujumbe ambao huyu mchekeshaji ameutoa ameupeleka ka akina nani?

Aliwaona watu wa bara lipi wanaweka picha yake kwenye maeneo ya ibada?
Cha kusikitisha ni kuwa Nyie wakristo juu ya kuwa MNAWEKA MASANAMU na Picha zs Mzungu makanisani Lkn MNAKATAA kata kata kuwa HAMUWEKI WALA HAMPIGII GOTI SANAMU.

Sasa huenda wasabato hawafanyi hivi au tabaka lingine la Wakristo lkn Generally talking WAKRISTO WENGI wanaweka masanamu ktk makanisa yao yote
Na kanisa mama la Vatican ambalo mimi binafsi nimeshaingia mara Mbili limesungukwa na Masanamu ya kila size na Rangi.

Tena sio ya Huyo Actor tu. Yamo ya watoto, wazee, wanawake na wengine mpk uelekezwe ni kina nani.

Na wanalo lipigia Goti ni la So called Maria, Yesu akiwa mkubwa. Na lile ya Yesu akiwa Mtoto.

Haya yote yana taswira za wazungu na hakuna hata mmoja anaengia hapo ambae hapigi goti na kuyaabudu hayo masanamu.

Sasa ukikana kuwa HAKUNA MASANAMU MAKANISANI unakuwa unaidanganya Nafsi yako Eiyer.
 
Ukweli ni kwamba waandalizi wa movie waliangalia na kutafuta mtu anayefanana na picha halisi iliyopo na iliyokuwa teyar ipo so hoja ya sasa kuona kana kwamba watu wanatumia picha yake haina mashiko kwani hata yeye ameikuta hio picha na ataiacha
 
Wakatoriki wanaongoza! Mpaka msalaba wamemchongea na kuusimamisha huku na kuubeba beba imeambatana na kinyago cha uyu MTU.
Kwao ni ishara ya kumbukumbu na ndio maana nchi nyingine wakati wa pasaka wapo wanaoigiza na kubeba watu walio live kabisa ktk misalaba lakini haimaanishi yakwamba uyo anae igiza mda huo waumini wamuombe au kumuabudu.Big No
 
i just made it for living!!!!

JESUS IS LIFE THUS ACHA TUTUMIE PICHA YAKO

Afadhali ya wewe uliyekubali kuwa unatumia picha hiyo picha.

Sasa, kwa nini uabudu picha na sanamu unajua biblia imesema nini juu ya hilo...?
 
Ukweli ni kwamba waandalizi wa movie waliangalia na kutafuta mtu anayefanana na picha halisi iliyopo na iliyokuwa teyar ipo so hoja ya sasa kuona kana kwamba watu wanatumia picha yake haina mashiko kwani hata yeye ameikuta hio picha na ataiacha
Picha halisi ya Yesu mwana wa Maria iko wapi?

Jamani acheni kudanganya watu.

HAKUNA PICHA HALISI YA YESU mwana wa MARIA hata sehemu moja duniani.

Zilizopo ZOTE ZA KUBUNI TU.
 
Back
Top Bottom