Tetesi: Msanii Rashid Abdallah Makwiro 'Chid Benz' ajiunga katika lebo ya WCB

Naona taratibu dogo Mondi ana transion kutoka kwenye u entertainer na kuelekea kwenye u music mogul.

Kwa kweli juhudi za huyo dogo nazipenda maana kaweza kujikwamua kutoka kwenye hali duni sana ya kimaisha hadi kufika hapo alipo.

#Positivity#
Hajajikwamua, ame wezeshwa na ndumba! Uchawi unalipa mzee!
 
Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic Baby WCB mchana Iliyo chini ya mwanamuziki machachari kabisa Diamond platnumz.

Taarifa hizi zimepatikana kupitia mtu wa karibu sana wa Babu Tale. Na pia kituo cha kuaminika cha redio yaani CloudsFM kimetaarifu mchana huu.
Bado kitambo kidogo
Domo naye atahudhuria mwananyamala
 
Naona taratibu dogo Mondi ana transion kutoka kwenye u entertainer na kuelekea kwenye u music mogul.

Kwa kweli juhudi za huyo dogo nazipenda maana kaweza kujikwamua kutoka kwenye hali duni sana ya kimaisha hadi kufika hapo alipo.

#Positivity#


kaka mkuu wee acha tu,huyu dogo ananiispire sana hasa kwa kupenda kuwanyanyua wa chini yake bila kuwa na roho mbaya,atatusua sana aisee,yaani akiamua kuanzisha WCB tour tu nchi nzima wanatoboa kaka kwa kuwa tayari wana timu kamili iloyojitosheleza,naiona fursa ya kutusua zaidi iliyo mbele yake
 
Nina wasiwasi mkubwa na nidhamu ya Chidi Benz
Nadhani watakuwa wamelitizama kwa muono mpana hao kina tale na said fella ni watoto wa kitaa khaswa so nina imani wanayajua mapungufu yake chukua mfano pina aliisha wahi kumpa mangumi chid lakini wakayamaliza kiume na kuwa kitu kimoja.
 
Miaka mitano ijayo ukitaka kutoka lazima upitie Diamond.
Atakuwa ameishika tasnia ya music kiasi kwamba wasanii wakubwa wote watakuwa chini yake.
Diamond atachukua mikoba ya kina Babu Tale na Mkubw Fella.
 
Hili kundi litakuja kupata mpasuko mkubwa mnoo...litakuja kusambaratikia mbali!!
 
Back
Top Bottom